Eti, CCM wanalalamika Odinga kuibiwa kura.

Pia NASA walikuwa na kituo chao cha kujumlisha matokeo. Haikuwa kosa yeyote kujumlisha na kuhakiki matokeo yake. Kwetu huku kuna computer za watu wanazo mpaka leo.
 

Nafikiri ni busara kuwa na akiba ya maneno! Ni mapema mno kupongeza upande mmoja na kunyooshea kidole upande mwingine! Tukumbuke kuwa kifo tata cha kikatili cha mtaalamu wa mfumo wa IEBC hakijapata ufumbuzi, na hatuna uhakika bado kama kifo hicho hakihusishwi na zoezi zima la kupokea na kurusha taarifa za kura!
 

Wamelalamika wapi mkuu, Tuwacheke?
Wakenya wameonesha ukomavu, CHADEMA tunatakiwa kumshauri ODINGA akubali matokeo kama sisi tutakavyokubali 2020. Mshindi lazima awe mmoja tu hawawezi kushinda wawili.
 
Magufuli na CCM yake will never ever allow kura za vituoni zijulimlishwe kwa nafasi ya uRais. Wao siku zote watatumia matokeo yanayotumwa na DED, ambae apparently ndie eti mwakilishi wa NEC (masihara hayaaa...) na ni mteuliwa wa Rais (ndugu wa damu/rafiki/mchepuko wa either P, VP, PM au Speaker).

Hongera Kenyatta na IEBC kukubali haraka kucount upya votes kwa kutumia forms za vituoni, as demanded by Raila. This time around Raila kapigwa kihalali kabisaaa. A gap of 2M votes is not a joke. It seems Raila never learnt anything from last election and he kept the same losing team. Hata aliowaongeza (Mudavadi et al) had no additional meaningful value. CHADEMA wana cha kujifunza hapa.
 
Zezeta nakuona katika ubora wako. Si ndiyo nyie mlimsapoti Odinga last election? Yaani mnachekesha sana. Akili zenu zero brain kabisa. Hamueleweki, hamna msimamo nyumbu nyie
Ukapimwe mkojo unafananishaje binadamu na wanyama.
 

Uchaguzi ujao watakufa watu wengi na wengine wataishia jela ,,,kwa namna inavyoonekana na huyu bwana mkubwa hawapendi opposition, ,,,tuombe Mungu
 
Kwanini CCM haikuipeleka TOT kumfanya kampeni Odinga, nakumbuka enzi hizo TOT-CCM ilikuwa ikienda Malawi na Msumbiji kufanya kampeni.
He he kumbukumbu mubashara kabisa. Hii inaitwa nipe nikupe.
 
chadema mmekosa pa kutokea hadi mnataka kutumia uchaguzi wa kenya kujiimarisha kisiasa!
 
Wamelalamika wapi mkuu, Tuwacheke?
Wakenya wameonesha ukomavu, CHADEMA tunatakiwa kumshauri ODINGA akubali matokeo kama sisi tutakavyokubali 2020. Mshindi lazima awe mmoja tu hawawezi kushinda wawili.
Kwa nini Useme CDM utashindwa 2020 kama si hila ?! CCM yenye kujiamini haipaswi kupinga uwepo wa tume huru.

Cairo's
 
Mkuu sio mapema kupongeza mbona rais Magufuli ameshapongeza au yeye hajui kuwa kuna kifo tata cha mtaalamu wa IEBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…