Eti, CCM wanalalamika Odinga kuibiwa kura.

Hii ni kanuni ya maisha "MWIZI HUA HAMUAMINI MTU YEYOTE " na hudhani kila mtu ni kama yeye.

IEBC imepiga hatua mbali kabisa ukilinganisha na kitengo hiki cha Magogoni cha (NEC). Hapa kwetu ni zaidi ya aibu.

Cairo's
Tume yetu ya Lubuva ni kichekesho kura huwa siri kama jando, wenzetu walikuwa wanatoa matokeo LIVE bila kusubiri maelekezo toka juu.

NASA waliomba IEBC irudie kujumlisha kwa kutumia fomu za vituoni ikarudia kitu ambacho hakiwezekani kutokea Tanzania.
 
Hizi stori za vijiwe vya kahawa unaleta huku.

Raila anaihusu nini CCM?
 
Acha unafiki, hakuna mwa CCM aliyelalamika. Mod 4 ondoeni huu uzi, maana hakuna ushahidi wa CCM aidha kupitia katibu mkuu au katibu mwenezi au mwenyekiti wa CCM kutoa tamko la hicho alichokiandika mleta mada.
mwambien babu yenu wa Chato asikose innaguration ceremony ya Kenyata mwambie wivu haijengi Kenya bado maendeleo itasonga km mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena kabisa ewe lofa. Maana nyie kila siku mnalia lia kwa vitu visivyo wahusu. Mfano ya Kenya yanawahusu nini? Mbona mlimpeleka mpaka fisadi nyeupe kwenda kushadadia vitu visivyomhusu?
Kwanini CCM haikuipeleka TOT kumfanya kampeni Odinga, nakumbuka enzi hizo TOT-CCM ilikuwa ikienda Malawi na Msumbiji kufanya kampeni.
 

Shida ya Tz ni kutegemea hisani ya CCM ktk hoja za msingi ili kutoa maamuzi. Wakati CCM inafaidika na ubovu huu wa :

- Katiba mpya watu wanasubiri hisani ya CCM !!

-Tume huru ya uchaguzi watu wanangojea hisani ya Maghufuli!!

-Kufanya siasa ya mikutano watu wanasubiri hisani ya mshindani wao Maghufuli pamoja na kujua kuwa hana haki ya kuzuia siasa!!

Cairo's
 
Acha unafiki, hakuna mwa CCM aliyelalamika. Mod 4 ondoeni huu uzi, maana hakuna ushahidi wa CCM aidha kupitia katibu mkuu au katibu mwenezi au mwenyekiti wa CCM kutoa tamko la hicho alichokiandika mleta mada.
Acha ukengeuku,who are you?Small fish in the pond unabisha nn
 
Hongera sana IEBC kweli ni wazalendo. Mungu awabariki. Odinga amebebwa sana na Tume kwa maana kila lalamiko alilolitaka IEBC wamemtekelezea tofauti na huku Tanzania ilivyokuwa 2015.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani opposition daima watasupport kilicho chema.
Walisupport Odinga wakati wakidhani kuwa Uhuru alikuwa na makosa ya mauaji. Lakini sasa wamehakikisha kuea mahakama ya the Hague imewaachia.
Wanafurahia sasa utawala wa Uhuru wa haki na.uwazi. ila walisupport madaktari waliopinga uonevu na walipinga madaktari wetu kwenda Kenya kuingilia tofauti ya serikali ya Kenya na madaktari wake.
Sasa hivi wanasupport jinsi kura zilivyosimamiwa Kenya na uwazi uliotumika.
Kweli sasa hivi Tz tumepigwa buti sana na Kenya kwa hilo.
Niliona mpaka members wa senate ama governors wakitangazwa mara baada ya ushindi kuhakikiwa na majimbo yao bila kusubiri.
Excellent!
Kama kila kituo kina wawakilishi wa wagombea na kila jimbo linawawakilishi wa wagombea na wagomnea wote wamehakiki takwimu zote na kuweka sahihi kwa nini wasitangaze mara moja kwenye majimbo yao?
Hii inapunguza sana matatizo.
Kwetu matumizi mabaya ya
dola yanakera sana.
Kenya wametumia system ambayo inayoruhusu checks. Kwa kutumia forms A na B waliweza ku counter check. Sasa kwetu mpaka polisi wanapoteza takwimu mpaka za idara ya Haki za Binadamu. Shame on us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…