Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 986
- 212
Sikio la kufa halisikii dawa. Hivi kama CCM ikifa kutatokea nini? Mbona KANU huko Kenya, UPC huko Uganda na UNIP huko Zambia haziko madarakani na nchi zinasonga mbele? Bila CCM kuondoka madarakani Tanzania itabaki hivi hivi. Hakuna jipya CCM.
Katika gazeti la Mwana Halisi toleo la leo no 163, lina kichwa cha habari kuwa akina, Rostam, Karamagi, Somaiya, na wengineo wamechaguliwa na Sekretariate ya CCM iliyo chini ya Uenyekiti wa Makamba. CC inasubiriwa ku-approve. Hii, imekaaje jamani. Mafisadi wanaweza kutenganishwa na hiki chama? Na je, kunadhamira ya dhati ya CCM kupambana na Ufisadi?

mkuu, heshima mbele, hebu tuwekee habari kamili, maana sisi wengine tuko mashambani kulipata gazeti hilo mpaka baada ya wiki.
sioni cha ajabu muulize kibunango .....
sasa kama hao ndio waliomwingiza madarakani kwa nini wasimsaidie 2010
kila la kheri
Kama ni kweli basi hicho ndio kielelezo cha Jakaya kuhusu upande anaounga mkono katika vita hii dhidi ya Rushwa na ufisadi nchini!! Haingii akilini kuwateua hawa wezi kukutafutia eti fedha za kuingia IKULU 2010; wakakutafutie wapi, wakatuibie pesa yetu toka BOT tena? Au safari hii watatuibia pesa yetu toka TIB kwa NONI? CCM acheni kuwatukana wadanganyika!
Ni aina nyingine ya Udaku.....Katika gazeti la Mwana Halisi toleo la leo no 163, lina kichwa cha habari kuwa akina, Rostam, Karamagi, Somaiya, na wengineo wamechaguliwa na Sekretariate ya CCM iliyo chini ya Uenyekiti wa Makamba. CC inasubiriwa ku-approve. Hii, imekaaje jamani. Mafisadi wanaweza kutenganishwa na hiki chama? Na je, kunadhamira ya dhati ya CCM kupambana na Ufisadi?
Ni aina nyingine ya Udaku.....
Kazi kweli kweli...mi nahisi soln ya hapo ni sisi kujipanga
kama wana rostam na sisi tutafute wakina mwanakijiji,mpwa masa,invis,firstlady 1,na wengineo tukomae nao hao