Tujadili umaskini wetu au utajiri wetu unaoliwa na CCM naAcheni lopolopo yawezekana hata katiba ya ccm hamuijui juu ya ummiliki wa kadi someni msiwe wafupi kufikiri jamani!
Mnajadili umiliki wa kadi? Ndy matatizo tunayokumbana nayo?
Naumia sana kuendelea kuona watanzania wa sasa bado tuna akili sawa na mtanazania wa miaka 40 iliyopita?
Jadilini umasikini wettu jaman dah?
Kadii ndy tuijadili hapa???? Aibu
Watu wanamwangalia mamluki/mnafiki kwakujiuliza maswali haya:Siku zote unafki na umbea haudumu sasa aibu imewageukia.Shame on you Slaa
MTAHANGAIKA SANA TU KWA KURUKIA KILA MTI , BUT AT THE END OF THE DAY HAMUWEZI KUPUNGUZA MAHABA YA WATANZANIA KUPATA MABADILKO. MLIANZA NA UKABILA NA UKANDA, MKAJA DINI, SASA AMEKUWA CCM!Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga
kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi
wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria
Mikutano ya Chama inayofanyika usiku.
Tumewajua, watanzania musiwaamini hao ni CCM halisi.
Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga
kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi
wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria
Mikutano ya Chama inayofanyika usiku.
Tumewajua, watanzania musiwaamini hao ni CCM halisi.
MTAHANGAIKA SANA TU KWA KURUKIA KILA MTI , BUT AT THE END OF THE DAY HAMUWEZI KUPUNGUZA MAHABA YA WATANZANIA KUPATA MABADILKO. MLIANZA NA UKABILA NA UKANDA, MKAJA DINI, SASA AMEKUWA CCM! SITASHANGAA SIKU TUKISIKIA HUMU KWAMBA SLAA NI MJAHIDINA NA AMETUMWA NA REDIO IMANI!haaaahaaah! TATIZO CCM NA CCM B (UHAMSHO) CHAMA CHA "WASWAHILI"ambao siku Zote maisha ni kucheza na maneno na vijimaneno! Ndio maana mkianzisha vijineno vyenu vya pilau, SLAA PAMOJA NA WAELEWA WENGINE HATUNA MUDA WAKUJIBIZANA! SLAA ANAENDELEA KUCHAPA KAZI YA UKOMBOZI ; NYINYI ENDELEENI NA CHEAP PROPAGANDA! KWA KUKUSAIDIA TU NI KWAMBA HALI YA CCM ITAZIDI KUWA MBAYA KADRI SIKU ZINAVYOKWENDA MBELE; NA ROHO YA KUTAKA MABADILIKO ITAZIDI KUTAMALAKI! POLE SANA MKUU SIJUI KAMA MTAFANIKIWA NA HIZO SO CALLED CHEAP PROPAGANDA! NI VIZURI MKAMSHAURI BOSI ALIYEWATUMA KWAMBA MBADILISHE STAILI, HII WATZ WAMEISHTUKIA! UNAJUA NINI? BADILISHENI MAISHA YA WATANZANIA; ONDOENI UFISADI; TOENI FURSA SAWA NDANI YA CHAMA NA SI KUPENDELEA WATOTO WA VIGOGO;KUWENI NA DIRA NA MENGINE MENGI: MKIYAFANYA HAYA NDIO YATAWAFANYA WATANZANIA WASIONE UMUHIMU WA SLAA NA WANAMAGEUZI WENGINE!OTHERWISE MTAMALIZA KEYBOARDS ZA COMPUTER KWA KUTAIP NONSENSE ; BUT YOU WILL NEVER EVER ACHIEVE WHAT YOU EXPECT!
Imeundwa Kwa Muungano wa Vyama viwili CUF na CCM, hapo hakuna A wa BMkuu Vijihela
Unasema ccm kuidhoofisha CUF! serikali ya zanzibar meundwa na muungano wa vyama gani vya siasa? (tuambie kama viwili kipi ni
A na kipi ni B lazima kiwepo cha kwanza na chapili vitaje ukishindwa tutakutajia)
Masharti ya uanachama kwa ccm yapo wazi, unayafahamu na kama unayafahamu uelewa wako kwa maada hii ni sahihi kwa mwanachama hai wa ccm?
Kama huko zanzibar unavifahamu vyama vilivounda serikali ya kitaifa, vipi kuhusu usaliti wa Omar mahita IGP enzi zile na majambia
ya CUF kontena mbili? (nani anakiunguza Cuf kwa mtazamo wako kuhusu majambia feki)
Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao
wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine
wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa
kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.
Imeundwa Kwa Muungano wa Vyama viwili CUF na CCM, hapo hakuna A wa B
CHADEMA si chama cha upinzani ni tawi tu la CCM ambalo liliundwa kwa lengo
la kuidhoofisha CUF.
Masharti ya uanachama yanategemea, kama umetumwa kwa kazi maalum ya kuharibu
akili za watanzania unabaki kuwa mwanachama hai wa CCM.
Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.
2nd September 2011 11:14
Hamko mbali kumuamudu w. slaaa maana mnatumia makalio kutafakari ndio maana mnamuabudu yesu badala ya Mungu.
Siasa za kwenye Vigango ndizo zinaenda kuimaliza CHADEMA 2015. Udini,udini,udini
Tujadili umaskini wetu au utajiri wetu unaoliwa na CCM na
CCM 'A' ?
Mkuu na wewe unatumia uongo kujenga hoja? Mbona tangu mwanzo wewe umeonesha chuki kwa Slaa na Chadema? Unakumbuka post yako ya 2nd September 2011 11:14
Lini ulijiunga na Chadema mpaka unatwambia leo unaichana kadi ya CDM?
Imani yako na itikadi yako vinakuruhusu kutumia uongo?
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu!