Eti bora vita kuliko udhalimu wa CCM

Eti bora vita kuliko udhalimu wa CCM

Kabla ya yote mimi sio CCM wala CDM,ila ninakereka sana na wajinga kadhaa wanaosema ni bora nchi iende vitani kuliko kuendelea na utawala "dhalimu" wa CCM,mimi napingana nao ingawa ndio CCM imefanya machafu mengi sana kuanzia EPA,Richmond, Meremeta.Escrow, Radar na mengine kibao.

Hao watu wanaijua vita lakini?vita vya wenyewe kwa wenyewe wanavijua? Kwanza kama walikua na mipango yao ya kimaendeleo yote inabidi waifute na waanze kuishi kama ndege achilia mbali vifo vya uwapendao na mara nyingi nchi ikishaingia kwenye civil wars pia mataifa makubwa yanajipenyeza kuchochea pande flani ili wajinufaishe kama Prof Kalamaganda(yule wa law aliekua kwenye tume ya warioba) alivosema kua nchi pekee yenye utajiri inayongojewa iende vitani mabeberu waje wajichumie ni Tanzania.
Ni bora CCM waendelee kuliko kuingia vitani.

Bungeni sioni kinachoendelea naona wasomi tu wakisutana umbea, wengine walishikwa ugoni na picha zilienea hamuwaoni jimboni halafu bado mnawalea!
 
Wanaosema hayo ni wajinga tena wengi wao ni viongozi wa UKAWA

Wengi ni wavivu hawapendi kujishughulisha wanasubiri miujiza ya neema kwenye vita haya matondorofeta. Mabomu ya mbagala na gangolamboto yaliwaacha wengine wakiwa wamesahau hata majina yao kwa kihoro sasa mijitu inajitia udwanzi. Mungu tupe busara za kupambana na hii elnino aliyotutabiria mama kijazi usiwasikilize hawa makalmkenge wanaoomba vita. Hawa walikataa kwenda shule niniwashitaki kwako mungu! Amen.
 
Kapime malaria na typhoid hakika unaumwa vibaya mleta mada
 
Mimi si kiongozi wa UKAWA achilia mbali uanachama tu. ila lazima CCM iende, wakishinda kihalali, basi maana ujinga wetu watanzania utakuwa ni wa kiwango kikubwa sana ila wakilazimisha, lazima kieleweke tu. Bhita no bhita Kano nini bwana.
 
Hapa tulipo ni mateka chini ya Majambaz sugu maccm, Tunasubr octbr 25 mkomboz wetu lowasa atatukomboa
 
Kabla ya yote mimi sio CCM wala CDM,ila ninakereka sana na wajinga kadhaa wanaosema ni bora nchi iende vitani kuliko kuendelea na utawala "dhalimu" wa CCM,mimi napingana nao ingawa ndio CCM imefanya machafu mengi sana kuanzia EPA,Richmond, Meremeta.Escrow, Radar na mengine kibao.

Hao watu wanaijua vita lakini?vita vya wenyewe kwa wenyewe wanavijua? Kwanza kama walikua na mipango yao ya kimaendeleo yote inabidi waifute na waanze kuishi kama ndege achilia mbali vifo vya uwapendao na mara nyingi nchi ikishaingia kwenye civil wars pia mataifa makubwa yanajipenyeza kuchochea pande flani ili wajinufaishe kama Prof Kalamaganda(yule wa law aliekua kwenye tume ya warioba) alivosema kua nchi pekee yenye utajiri inayongojewa iende vitani mabeberu waje wajichumie ni Tanzania.
Ni bora CCM waendelee kuliko kuingia vitani.

Kuna watu watang'olewa pum&u huu mwaka! Kuliko wafanye wanayo tarajia ni bora WATAFUTE PAKUELEKEA KAMA SIO KUFILISIWA na kesi walizonazo huku pesa wamemalizia kwenye kampeni PATAMU HAPO! MAMVI BORA akimbie au yamkute yaliyo wakuta waliowahi kukutwa! Wakina nanii!
 
Back
Top Bottom