Eti bado inatumika, Bongo bana, khaaaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
292473_335729256512391_979633965_n.jpg
 
mbona hata ulaya zipo na zatumika?
Hakuna hii kitu mie huku sijaona hata kidogo huku kila kitu umeme hakuna mgao wa umeme huku mie nina miaka zaidi 20 sijawahi kuona au kusikia kuna mgao wa umeme au mgao wa maji hakuna hii kitu Mkuu hio kitu pasi ya mkaa huko huko kwenu East Africa. Mkuu gfsonwin
 
Last edited by a moderator:

basi kwenye visiwa vya trinidad bado ipo n ainatumika mkuu.
 
Reliable anytime,less costy,less risks of causing electric shocks when forgoten to be switched off,African by nature,
 
sasa kama hamna umeme kwanini isiendelee kutumia? tena inasaidia kweli
 
Hakuna hii kitu mie huku sijaona hata kidogo huku kila kitu umeme hakuna mgao wa umeme huku mie nina miaka zaidi 20 sijawahi kuona au kusikia kuna mgao wa umeme au mgao wa maji hakuna hii kitu Mkuu hio kitu pasi ya mkaa huko huko kwenu East Africa. Mkuu gfsonwin

Kaka MziziMkavu usikatae juzi nilikuwa natembea katikati ya Amsterdam nikakuta duka la vifaa vya kijeshi nikaona nichungulie kidogo,kuingia niliikuta hiyo pasi pamoja na taa ya chemli na vitu vingine vingi tu.Nilipowauliza wanaweka vya nini wakati wao wana umeme muda wote wakaniambia hivi ni maalum kwa watu wanaokwenda camping,hivyo bado vinatumika kaka lakini si kama huko kwetu....
 
Last edited by a moderator:
Hapo tatizo ni aina ya mkaa unaotumika tu basi!.
Kama ni wa mchuchuma basi ipo juu!.
 
Dah ila kweli hata huku nlipo mimi hiyo kitu haipo'ila kwa home naamini hata miaka 30 ijayo bado itatumika tena ni kitu muhimu sana
 
Back
Top Bottom