Eti "atoaje wakati mimi bado nipo?"

Eti "atoaje wakati mimi bado nipo?"

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Ndg wana Jf mwaka jana nilituma post ya mchumba wangu mchawi.Nashukuruni kwa mashauri yenu mazuri.Uamuzi niliochukua ni kuachana nae,pia nilihama ninaishi mbali nae kwa mikoa minne na nilibadili namba za simu.
::
Sasa kwa wiki mbili nimepata taarifa toka kwa rafiki zangu,ambao wanasema anawaambia watu kuwa siwezi kuoa wakati bado yeye hajaolewa.Mwanzo nilidhani utani ila kwa taarifa inawezekana anamaanisha.
::
Hivi,,yaweza kuwa kweli,naombeni mawazo yenu
=
 
Hata mimi niliwahi kuwa na girlfriend binti wa mganga, hao wanatabia ya kukufunga! lakini nenda kwenye maombi au dua!!
 
huyo binti alitokea Rufiji, alikuwa anavaa mkufu ambao unahirizi alikuwa anaificha katikati ya maziwa!! nenda kaombewe!!
 
YESU NI JIBU!!!!!!! Iwe kweli ama uongo ukiwa na YESU hana jeuri ya kukufanya lolote! Aisee mpendwa utatushikaje na mtu kukufanyia uovu ilhali hujamkosea chochote na Yesu yupo?

Mi nikimuanza mtu kumtendea ubaya afu akanitisha na Uwicha natishika kweli kweli manake nakuwa nishaharibu kwa Mkuu huo sasa back up yake nakuwa naiomba kwa imani tu!!!!!!! Ila Mungu Baba ni Mwenye Huruma!!!!!
 
Mambo hayo yapo ndugu yangu! cha muhimu ni kumtegemea Mungu, kama ni mkristo kaombewe!! kama muislam kasomewe dua kaka!
 
Uchawi ni councious ya mtu tu, wewe ulishamuacha ukahama usiendelee kuulizia ulizia habari zake hata kwa marafiki zako! Zitakukosesha raha tu....Move on mkuu..

asante sana ila taarifa zinakuja maana rafiki zangu anawaomba namba zangu nao wanamdanganya nimeoa ndo anasema siwezi kuoa wakati yeye yupo.Mimi sina muda nae,nimeamua kuwa single
 
Last edited by a moderator:
kumbe sometimes Lara1, una ongea point enheee?!
 
Uchawi upo kaka, vitabu vyote vya dini vinathibitisha hilo au wewe huna dini?! japo hatutakiwi kuufuata uchawi!! but upo
 
YESU NI JIBU!!!!!!! Iwe kweli ama uongo ukiwa na YESU hana jeuri ya kukufanya lolote! Aisee mpendwa utatushikaje na mtu kukufanyia uovu ilhali hujamkosea chochote na Yesu yupo?

Mi nikimuanza mtu kumtendea ubaya afu akanitisha na Uwicha natishika kweli kweli manake nakuwa nishaharibu kwa Mkuu huo sasa back up yake nakuwa naiomba kwa imani tu!!!!!!! Ila Mungu Baba ni Mwenye Huruma!!!!!

lara 1
asante sana,,hofu yangu anajiamini nini,miaka ikipita bila kuoa kichwa chake mali yangu gereza kiota cha wanaume
 
Last edited by a moderator:
Petro
Binafsi siamini ila naogopa
Uchawi ni nadharia ambayo kwanza huitaji imani.Ukishaamini,nadharia hiyo huwa ukweli ambo unaweza kukudhuru na kukupelekesha vile utakavyo.Mkuu Tetra,kama huamini,amini nakuambia uchawi hautakufikia wala kukudhuru.Kinyume chake,ndio hali hali kama uliyonayo hujitokeza
 
PETRO E.Mselewa
Shukrani,,imepita miezi saba sasa ila anataka kujua nilipo wakati siku tulipoachana nilimweleza kila kitu na akajua tumeachana
 
Last edited by a moderator:
She is right. Hauwezi kuoa kabla yeye hajaolewa. Na sio kwa sababu za uchawi. Ni kwa sababu you dont have a life. Una kazi ya kumuulizia anaendeleaje, anaongea nini kuhusu wewe and the like. So hadi siku usikie kaolewa, ndo utulie sasa uangalie wadada waliopo nawe ujipatie wako. Endelea kutafuta updates zake mkuu.
 
usiwe na hofu kwani mungu ndo kila ki2 cha msingi muombe mungu sana akuepushie
 
No!! usifike huko mkuu!! fuata ushauri huu;; nenda kwenye kanisa ukaeleze shida yako watakusaidia kama mimi!!

Tuliachana kwa wema sasa anafuatilia maisha yangu ya nini.
Anataka ajue niliko anataka mawasiliano nami,ALISHAJUA simtaki tena,,I better be single forever
 
Mimi ninaamini kama ninavyoamini uwepo wa Mungu. Lakini ninajua Nguvu za Mungu ni kubwa kuliko shetani na agents zake (wachawi n.k).

hivi wifi, kama unaenda maombi na ukatoka hapo ukaenda kupiga ramli kujua kama bado wanakuloga. Afu ukaambiwa wameenda bagamoyo this time. Unarudi tena mbioo kwa maombi mathubuti. Utatoka kweli? How do you get to hear anachokuengelea ex wako kama yeye sio current wako bado?
 
Back
Top Bottom