Eti "atoaje wakati mimi bado nipo?"

Eti "atoaje wakati mimi bado nipo?"

She is right. Hauwezi kuoa kabla yeye hajaolewa. Na sio kwa sababu za uchawi. Ni kwa sababu you dont have a life. Una kazi ya kumuulizia anaendeleaje, anaongea nini kuhusu wewe and the like. So hadi siku usikie kaolewa, ndo utulie sasa uangalie wadada waliopo nawe ujipatie wako. Endelea kutafuta updates zake mkuu.

King'asti
Labda niwe wazi ktk hili,,yeye ndie anawasumbua rafiki zangu akitafuta namba zangu na nilitishia kutopokea simu za rafiki zangu iwapo ataongea lolote kuhusu yeye.Badae nikaona siwatendei haki rafiki zangu.Haya ndo matokeo yake
 
Last edited by a moderator:
Toka umwache hujapata hata changu?
 
asante sana ila taarifa zinakuja maana rafiki zangu anawaomba namba zangu nao wanamdanganya nimeoa ndo anasema siwezi kuoa wakati yeye yupo.Mimi sina muda nae,nimeamua kuwa single
Jaribu kufukuzia ili uwe na demu mwingine, ukiona hupati nenda haraka kaombewe au kafanye dua, usizembee hayo mambo yapo.
 
YESU NI JIBU!!!!!!! Iwe kweli ama uongo ukiwa na YESU hana jeuri ya kukufanya lolote! Aisee mpendwa utatushikaje na mtu kukufanyia uovu ilhali hujamkosea chochote na Yesu yupo?

Mi nikimuanza mtu kumtendea ubaya afu akanitisha na Uwicha natishika kweli kweli manake nakuwa nishaharibu kwa Mkuu huo sasa back up yake nakuwa naiomba kwa imani tu!!!!!!! Ila Mungu Baba ni Mwenye Huruma!!!!!
Nadhani busara ni kama ugonjwa wa kuambukiza, tangu tutembeleane naona umekuwa na busara kama mimi. teh,teh,teh!
 
Jaribu kufukuzia ili uwe na demu mwingine, ukiona hupati nenda haraka kaombewe au kafanye dua, usizembee hayo mambo yapo.

psalm 1
Mmm Ushauri mzuri ingawa nilishaamua kuwa faithful to myself
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh kazi ipo hii issue yako imechanya mambo mengi kwanza kuathirika kisaikolojia that's why unaweweseka kila ukimfikiria pili imani haba huamini kama mungu anaweza kukusikia on time unahisi kama atachelewa tatu unamuogopa na kumuamini nguvu alizo nazo ex wako wakati viumbe wote hawana nguvu mbele za mungu believe me huyo mkeo ni nothing kwani kama huo uchawi ungekua na nguvu angejua mpaka cku utakayo muacha akazui isitokee lkn hana kitu that's why ulimuacha hivyo ni vitisho tu usimuogope wala kumuamini
 
lara 1
asante sana,,hofu yangu anajiamini nini,miaka ikipita bila kuoa kichwa chake mali yangu gereza kiota cha wanaume

Wewe hupaswi kujiuliza anajiamini nini, amini kuwa na kukiri kuwa hayo ayasemayo huyo binti hakuna litalowezekana kwa jina la Yesu Kristo.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh kazi ipo hii issue yako imechanya mambo mengi kwanza kuathirika kisaikolojia that's why unaweweseka kila ukimfikiria pili imani haba huamini kama mungu anaweza kukusikia on time unahisi kama atachelewa tatu unamuogopa na kumuamini nguvu alizo nazo ex wako wakati viumbe wote hawana nguvu mbele za mungu believe me huyo mkeo ni nothing kwani kama huo uchawi ungekua na nguvu angejua mpaka cku utakayo muacha akazui isitokee lkn hana kitu that's why ulimuacha hivyo ni vitisho tu usimuogope wala kumuamini

scorpion girl
asante sana
 
Last edited by a moderator:
Wewe hupaswi kujiuliza anajiamini nini, amini kuwa na kukiri kuwa hayo ayasemayo huyo binti hakuna litalowezekana kwa jina la Yesu Kristo.

I understand
 
Back
Top Bottom