Eti asijue................How??

Sorry for the delay dear... si unajua kupika huku unachungulia net basi ili mradi tu...

MwanajamiiOne maana yangu ni hii dear...

Unalosema ni kweli kua watu/wenzi wengi wamekua na mtindo wa kutotaka kuonesha au do their best kwa wenza wao in the pretext kwamba huo mwenza wao atajidai... hili suala sio zuri kabisa LAKINI hata hivyo sioni kua hilo ndo ufanya watu wachokane... labda kwa kunymbulisha natoa sababu ambazo naamini kua hufanya watu wachokane...

  1. Mmoja wa mwenza kua too dependent, yaani hata kama kweli unahitaji msaada sometimes ikivuka mpaka mwingine huchoka kutoa hio support anayotoa kila siku. For instance kila mkionana una shida na pesa ya kitu fulani...
  2. Kujifanya kila siku mwenzi anpo suggest mkutane faragha kua you are not interested na unaenda sababu tu eti yeye anataka - haipendezi sababu it takes to for it to be a great experience - alafu pia variety nayo ni muhimu sio kila siku kifo cha mende (kama unashindwa kua creative basi hata waconsult wahindi kwa kua na collection ya kamasutra...
  3. Usumbufu wa simu za mara kwa mara, kwa siku mnapigiana simu mara 10... (seriously what are you talking about! ) walau twice or thrice siku moja moja sio mbaya.
  4. Kua too demanding.. kila siku na kila saa unataka muwe wote kama kumbi kumbi - ni muhimu kupeana breathing space once in a while..
  5. Ku relax mno na kufikiria kua as long as una mwenza there no need ya kufanya effort ya kumfurahisha... ni vigumu kufanya hivyo ndo maana events muhimu kama valentine, birthdays na anniversaries unazitumia effectively ku revive mapenzi yenu..
  6. Na mengine madogo madogo....

My stand...

You love someone please let them know, na kwa vitendo kwa kujali na kuwajali pamoja na mambo yoote ambayo ni muhimu katika maisha yao... Give your best so that ikishindikana mnaachana you know deep down that that was your best but it was never meant to be... be your best that you are forever imprinted in his/her mind - kwamba hata kama alinipiga buti huko aliko ananikumbuka na anajuta uamuzi alokua amechukua... Mapenzi ya kweli you give and give and give.... mpaka pale unaopoona kua hapakufai tena au kama una bahati unakua ndo umefika.

Nasikiliza, endelea......!!!
 
Mimi nadhani kuna vitu tunavichanganya katika hizi anga za mapenzi! labda niulize suali, Hivi kumuonesha mtu kuwa unampenda ni lazima udhalilike kwake ndio ajue?

halaf mjukuu mtiifu maneno kama yepi? hebu nipe mifano kidogo.

Hapana si kunyanyasika......kuna baadhi ya vitu ambavyo pale mnapokuwa mmezoeana huwa vinapungua na pale mwenzi wako anapojaribu kuquestion huwa kama vile tunapuuza.......akiifyumu huwa tunaignore na hapo ndo ule usemi wa usimwonyeshe kama umefika saaaana huapply lol.

Mfano hun wako anatamani wenda cinema, na alikwambia muda mrefu tu then siku ya siku unachomoa, akinuna ,,,,,,,,,,,,,,we kwa vile ukionyesha kuhudhunika kwako na kumwomba samahani unajiona kama vile umekwenda an et\xtra mile........na washkaji hawakawii kukwambia unamuendekeza usimwonyeshe kuwa unampenda saaaaaaaaaaana
 
3D kwa leo zingatia hayo nafikiri yanatosha....
By the way kama umepotea fulani hivi....

Yeah, nazingatia sana. Ni kweli nimepotea kidogo. Hata hivyo kuna wakati post zinakuwa sensitive hivyo napoona kuna dalili ntaandika mengi naamua kunyamaza. Mfano ni thread hii.
 
Sema baba usikike... tena mi nafikiri nyie guys tunahitaji zaidi michango for nyie ndo mabingwa wa kukinai...
 
And thats my stand as well (not one night stand lol), give and show your love but as a matter of precaution nadhani pia ni vizuri mwenza wako akahisi au kujua how strong you are just in case akileta za kuleta, Sisi ni binadamu na tuna udhaifu unatutawala hata tukiupinga, samtaim ni vizuri tukaweka misingi imara ili kuuepusha udhaifu wetu kuteka maisha/mapenzi yetu.

aaargh! inabidi nilog out. baadae waheshimiwa

Kumbe unajua kizunguzu? Hongera sana. Mimi siwezi kuishi bila laazizi wangu wa moyo na ubongo tuhaishi ubungo kibagu
 
Hivi....eti nimpende mtu halafu niigize nampenda kidogo ili asiniletee mapozi? Haiwezekani. Nitasema juu ya wasichana:

  1. Si kweli kuwa ukimpenda msichana na ukamwonesha hivyo atakunyanyasa. Ukimwonesha umemfia atakunyanyasa. Nachomaanisha ni kuwa ukimwonesha umempenda kupiliza kiwango cha kutomwonesha dissatisfaction aki-misbehave atakunyanyasa kwa kuwa atakuwa anajua amekosea na huna uwezo wa kuchukua uamuzi wowote. Mvulana au msichana ni lazima amwoneshe mwenza wake kuwa anampenda na pia amwoneshe anaweza kuchukua hatua ya kuachana naye kama atafanya makosa na kuyarudia. Simaanishi umtishe kuwa utamwacha ila kuna namna ya kumwonesha kuwa umempenda na unajitambua katika kumpenda kwako. Namna mojawapo ni kumwambia kuwa unampenda kwa sababu unaamini anastahili kupendwa na kwa sababu unaamini atakuwa mwaminifu na mtiifu kwako. Mwambie, "Honey, kile utachokipata katika uhusiano wetu ni kile nachodhani unastahili na ninachoweza kukifanya juu yako. Kile nachostahili mimi ni kazi yako wewe kunipa. Kama kuna kitu ntachokosea usiache kuniambia nijisahihishe."
  2. Tunachokosea ni kumruhusu mtu awe na wasichana wengine halafu "sisi" tunaishia kulia tu. Unamwambia unamwacha halafu then unarudi, hapo unategemea nini? Usiwahi kumtisha kuwa unamwacha, mwambie kuwa hauridhiki na anachokifanya. Mwambie pia japo hauna ushahidi lakini vitendo na ishara zake zinakunyima amani, mwambie aifanyie kazi hofu yako. Anayekupenda atakusikiliza, asiyekupenda ni kazi kwako kuendelea kumlilia kama moyo wako "umemfia."
  3. Nikimpenda msichana, kwanza ntamwambia, pili yeye mwenyewe ataona tu. Mimi naweza kuandika mashairi....... eti jamani nimpende mtu halafu niogope kumwandikia verse, sasa kipaji changu hiki ntakitumia wapi?
  4. Hata hivyo ni vizuri kuweka kiasi katika mahusiano (Si kumwonesha kidogo unampenda). Kiasi maana yake usinunue kila kitu hata kama uwezo wako ni mdogo, kumbuka wenzi wetu wanajua uwezo wetu. Kama mwanamume una pesa na mwanamke akajua una pesa usimnunulie magari kila siku, atadhani unafanya hivyo kwa kuwa una uwezo, siku nyingine nunua pipi au mdoli. Bei ya mdoli si dalili ya utajiri ni dalili ya kupenda. Sasa kama ataweka nyodo ni juu yake. Ila naye ni lazima akununulie japo leso. Wavulana nawapasha leo: Kama mwanamke anakupenda nakuhakikishia atakuletea hata big g. Ukiona anaomba tu vocha, halipii nauli, halipii msosi, hapigi japo sekunde, anabipu tu, baba... hakupendi. Ndiyo ni mzuri sana. Ndiyo unampenda sana. Ndiyo "unashindwa" kumwacha. ndiyo alikuwa miss Tanzania. Ndiyo anaongea kiingereza. Ndiyo ukimwacha atachukuliwa na Diamond (sorry kwa kumtaja). Ndiyo yeye ni maarufu kuliko wewe. Ukweli ni mmoja tu hakupendi.
  5. MWONESHE UNAMPENDA. AKIRINGA ONGEA NAYE. ASIPOBADILIKA MWAMBIE TENA. ASIPOBADILIKA ACHANA NAYE. USIACHE KUMWONNESHA UNAYEMPENDA KUWA UNAMPENDA. Ila nayempenda naye...........
Anipende mimi kama mimi,
Si kisa eti mi msanii,
Au labda naonejkana sana kwenye Tivii,
Ila wa kunishauri juu ya HIVii,
Si lazima awe na lipsi pana,
Si lazima akicheka awe ana mwanya.

(Ubeti toka wimbo wa Daz Baba ft Mangwea - Wife)
 
Umenikosha mno.... kweli 3D hapa umesikika na i wish hata other guys wawe na the same attitude... Bravo!!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mapenzi kaz kwel kwel;
kwanza hili suala kwa mtazamo wangu linawakumba walio wengi kutokana na wengine kutumia nafasi hiyo kumtesa mwenzie kwa kufanya kila aina ya vituko akidhania kuwa mwenzie hatakuwa na namna yeyote kwani kwake ndo kafa kaoza,
pili tujiulize kama kweli tutafanya hivo tutakuwa tunamaanisha mapenzi au mateso? Walio wengi wanajaribu kutumia hiyo concept ya kutokuonesha moja kwa moja ili kuyaepuka mazingira ya namna hiyo. Ni mtazamo tu.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Sorry for the delay dear... si unajua kupika huku unachungulia net basi ili mradi tu...

MwanajamiiOne maana yangu ni hii dear...

Unalosema ni kweli kua watu/wenzi wengi wamekua na mtindo wa kutotaka kuonesha au do their best kwa wenza wao in the pretext kwamba huo mwenza wao atajidai... hili suala sio zuri kabisa LAKINI hata hivyo sioni kua hilo ndo ufanya watu wachokane... labda kwa kunymbulisha natoa sababu ambazo naamini kua hufanya watu wachokane...

  1. Mmoja wa mwenza kua too dependent, yaani hata kama kweli unahitaji msaada sometimes ikivuka mpaka mwingine huchoka kutoa hio support anayotoa kila siku. For instance kila mkionana una shida na pesa ya kitu fulani...
  2. Kujifanya kila siku mwenzi anpo suggest mkutane faragha kua you are not interested na unaenda sababu tu eti yeye anataka - haipendezi sababu it takes to for it to be a great experience - alafu pia variety nayo ni muhimu sio kila siku kifo cha mende (kama unashindwa kua creative basi hata waconsult wahindi kwa kua na collection ya kamasutra...
  3. Usumbufu wa simu za mara kwa mara, kwa siku mnapigiana simu mara 10... (seriously what are you talking about! ) walau twice or thrice siku moja moja sio mbaya.
  4. Kua too demanding.. kila siku na kila saa unataka muwe wote kama kumbi kumbi - ni muhimu kupeana breathing space once in a while..
  5. Ku relax mno na kufikiria kua as long as una mwenza there no need ya kufanya effort ya kumfurahisha... ni vigumu kufanya hivyo ndo maana events muhimu kama valentine, birthdays na anniversaries unazitumia effectively ku revive mapenzi yenu..
  6. Na mengine madogo madogo....
My stand...

You love someone please let them know, na kwa vitendo kwa kujali na kuwajali pamoja na mambo yoote ambayo ni muhimu katika maisha yao... Give your best so that ikishindikana mnaachana you know deep down that that was your best but it was never meant to be... be your best that you are forever imprinted in his/her mind - kwamba hata kama alinipiga buti huko aliko ananikumbuka na anajuta uamuzi alokua amechukua... Mapenzi ya kweli you give and give and give.... mpaka pale unaopoona kua hapakufai tena au kama una bahati unakua ndo umefika.

Good Good Asha,
Nimeipenda hii.
 
Hivi....eti nimpende mtu halafu niigize nampenda kidogo ili asiniletee mapozi? Haiwezekani. Nitasema juu ya wasichana:

  1. Si kweli kuwa ukimpenda msichana na ukamwonesha hivyo atakunyanyasa. Ukimwonesha umemfia atakunyanyasa. Nachomaanisha ni kuwa ukimwonesha umempenda kupiliza kiwango cha kutomwonesha dissatisfaction aki-misbehave atakunyanyasa kwa kuwa atakuwa anajua amekosea na huna uwezo wa kuchukua uamuzi wowote. Mvulana au msichana ni lazima amwoneshe mwenza wake kuwa anampenda na pia amwoneshe anaweza kuchukua hatua ya kuachana naye kama atafanya makosa na kuyarudia. Simaanishi umtishe kuwa utamwacha ila kuna namna ya kumwonesha kuwa umempenda na unajitambua katika kumpenda kwako. Namna mojawapo ni kumwambia kuwa unampenda kwa sababu unaamini anastahili kupendwa na kwa sababu unaamini atakuwa mwaminifu na mtiifu kwako. Mwambie, "Honey, kile utachokipata katika uhusiano wetu ni kile nachodhani unastahili na ninachoweza kukifanya juu yako. Kile nachostahili mimi ni kazi yako wewe kunipa. Kama kuna kitu ntachokosea usiache kuniambia nijisahihishe."
  2. Tunachokosea ni kumruhusu mtu awe na wasichana wengine halafu "sisi" tunaishia kulia tu. Unamwambia unamwacha halafu then unarudi, hapo unategemea nini? Usiwahi kumtisha kuwa unamwacha, mwambie kuwa hauridhiki na anachokifanya. Mwambie pia japo hauna ushahidi lakini vitendo na ishara zake zinakunyima amani, mwambie aifanyie kazi hofu yako. Anayekupenda atakusikiliza, asiyekupenda ni kazi kwako kuendelea kumlilia kama moyo wako "umemfia."
  3. Nikimpenda msichana, kwanza ntamwambia, pili yeye mwenyewe ataona tu. Mimi naweza kuandika mashairi....... eti jamani nimpende mtu halafu niogope kumwandikia verse, sasa kipaji changu hiki ntakitumia wapi?
  4. Hata hivyo ni vizuri kuweka kiasi katika mahusiano (Si kumwonesha kidogo unampenda). Kiasi maana yake usinunue kila kitu hata kama uwezo wako ni mdogo, kumbuka wenzi wetu wanajua uwezo wetu. Kama mwanamume una pesa na mwanamke akajua una pesa usimnunulie magari kila siku, atadhani unafanya hivyo kwa kuwa una uwezo, siku nyingine nunua pipi au mdoli. Bei ya mdoli si dalili ya utajiri ni dalili ya kupenda. Sasa kama ataweka nyodo ni juu yake. Ila naye ni lazima akununulie japo leso. Wavulana nawapasha leo: Kama mwanamke anakupenda nakuhakikishia atakuletea hata big g. Ukiona anaomba tu vocha, halipii nauli, halipii msosi, hapigi japo sekunde, anabipu tu, baba... hakupendi. Ndiyo ni mzuri sana. Ndiyo unampenda sana. Ndiyo "unashindwa" kumwacha. ndiyo alikuwa miss Tanzania. Ndiyo anaongea kiingereza. Ndiyo ukimwacha atachukuliwa na Diamond (sorry kwa kumtaja). Ndiyo yeye ni maarufu kuliko wewe. Ukweli ni mmoja tu hakupendi.
  5. MWONESHE UNAMPENDA. AKIRINGA ONGEA NAYE. ASIPOBADILIKA MWAMBIE TENA. ASIPOBADILIKA ACHANA NAYE. USIACHE KUMWONNESHA UNAYEMPENDA KUWA UNAMPENDA. Ila nayempenda naye...........
Anipende mimi kama mimi,
Si kisa eti mi msanii,
Au labda naonejkana sana kwenye Tivii,
Ila wa kunishauri juu ya HIVii,
Si lazima awe na lipsi pana,
Si lazima akicheka awe ana mwanya.

(Ubeti toka wimbo wa Daz Baba ft Mangwea - Wife)

Duh! Wataisoma tu hata ki moyo moyo safi sana 3D.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Unamwambia nimefika tafadhali badili mawazo...muda huo nae anakua kafika kwingine na kafikiwa basi inakula kwako!!!

kwetu USUKUMANI at once tunasemaga DADA NIMEKUDONDOKEA...hapo lazima mtoto wa watu atabasamu tuu bila jibu...
 
Mj1 sante kwa hii topic dear

nway kwa maoni yangu naona hii kitu
iatofautiana na kwa kila mtu kuna wengine wako
very emotion wanapenda kuji express na kuonyesha
upendo wao wote ( I Love you all the time) wana sema hilo
neno na pia kuli timiza..

( situation ya maisha inachangia sana)

kitu kingine ambacho kinachangia sana
ni umri wale ambao wana balehe ndo wanaanza
uhusiano na mwanaume hao wanaweza kuonyesha
na kutoa upendo wao wote ( hawana experience ya kutosha)
na wale waliobobea kwenye relationship/marriage basi na wao
kuna stage zao wengi tulipoanza tulikuwa tunadhani
(this is it) tukaweka 100% lakini kadiri ya muda unavyoenda
ile teenager love inabadilika sio kwamba inaondoka hapana bali
tunai express in different way ... bado tunaionyesha lakini papo hapo
tunahitaji muda wa kupumua...
 
MMMM!! NGOJA NIKAOGE KWANAZA
i wll be back
 
Back
Top Bottom