Eti Arusha ni jiji la "chapombe?"

Siamini kwamba kwa mtu "anayeonekana kuwa makini" kama wewe ungefikiri kwamba mtu mwingine makini angewaza kama hapo palikokolezwa!
teh teh teh teh teh kweli wewe hata mkeo na wanao wana kazi nzito hapo nyumbani. Kama kosoa yenyewe ndio hii una kazi nzito mjomba
 
Sidhani hat kama mtoa mada anaijua Arusha vizuri na pilika pilika za watu wa pale. Kwahiyo hata swali ulilomuuliza atapata ugumu sana kulijibu na akilijibu nina uhakika utacheka tu
Acha kujipendekeza! Acha kudandia gari kwa mbele! Mada iko kwenye mfumo wa swali tena la kichokozi. Unajua maana ya kuanza sentensi kwa neno ..ETI...? Pia unafahamu maana ya "......."? Kama unajua labda umesahau, na kama hujui useme pia uelimishwe!
 
teh teh teh teh teh kweli wewe hata mkeo na wanao wana kazi nzito hapo nyumbani. Kama kosoa yenyewe ndio hii una kazi nzito mjomba
Ya mke na watoto wangu nyumbani hayakuhusu. Jadili issues na si watu!
 
Yameisha Mkuu tusije chukiana bure wakati maisha yenyewe hayana urefu sana mtu unaweza ishia hata hapo kwenye keyboard despite of the situation you are. Nway, lengo langu si kulumbana ila naamini hapa ndipo unapogundua kuwa watu tumeumbwa tofauti na mitizamo tofauti sana hata kwenye mamboamabyao haikuhitaji kuonyesha tabia zetu asilia.
Tuache haya na kurudi kwenye mada husika nafikiri ndio jambo la muhimu zaidi mkubwa wa maeneo ya Sanawari
 
Umemalizia vizuri mjadala ila kiingereza chako kaka kinatisha mjini hapa. Usione aibu wkend kata tuition kiaina mzee. Structure mkuu imekuchenga ktk kipande kifupi hivyo,je ukiandika paragraph nzima? LOL!
 
Mwenzio alishabanwa vya kutosha huko juu,ungemwacha tu apumzike. Karibu Mianzini tafadhali.
 
Umemalizia vizuri mjadala ila kiingereza chako kaka kinatisha mjini hapa. Usione aibu wkend kata tuition kiaina mzee. Structure mkuu imekuchenga ktk kipande kifupi hivyo,je ukiandika paragraph nzima? LOL!
This is very normal, i think is not something to surprise you man
Actually this is not a big deal, if i was writing in my vernacular language then you have the right to criticize me and say anything about me. But if you will keep on concentrating in looking at the grammatical errors in everything other peoples’ write then you will end up loosing your day without achieving anything
 
Aliedai paragraph kishapewa hapo; Kazi kwake. Lakini Ar tunaattend language courses pale AICC pamoja na ulevi wetu. Au kama huyu mdau yupo Dar nasikia kule ubungo kuna centre moja inaitwa Perfect Vision ni vyema nae akajimuvuzisha huko.
 
who told you that arusha is a jiji?????????
we have only 4 cities- dsm, tanga,mwanza and mbeya arusha was stripped of city status
 
Last edited:
Yameisha Mkuu tusije chukiana bure wakati maisha yenyewe hayana urefu sana mtu unaweza ishia hata hapo kwenye keyboard despite of the situation you are. Nway, lengo langu si kulumbana ila naamini hapa ndipo unapogundua kuwa watu tumeumbwa tofauti na mitizamo tofauti sana hata kwenye mamboamabyao haikuhitaji kuonyesha tabia zetu asilia.
Tuache haya na kurudi kwenye mada husika nafikiri ndio jambo la muhimu zaidi mkubwa wa maeneo ya Sanawari
Sawa mkuu nakubaliana na wewe, na huo ndio uungwana. Hakuna sababu ya kugombea fito ilihali tunajenga nyumba moja. Karibu Sanawari!
 
nashukuru kwa uungwana wako mkuu
Sanawari kubwa sana mhe specify mie nitakaribia sina hiyana

Nawe karibu LeBabire opposite na Mount Meru Hotel if you dont mind
Lakini pia napatikana Summit Club opposite na Green Acres School
 
Poa sana mkuu. Nitatia team siku moja kwani kwa sasa niko Babati kikazi, nimeamini wagombanao ndio wapendanao!
 
Mkuu haitakiwi kugombana au kuitilafiana kiasi cha kukosana kabisa ndugu yangu. Pouwa mkuu hata wewe waweza ku-suggest tuonane wapi incase wote tukiwa Arusha kwa maana kazi zangu ni za kusafiri safiri sana. Otherwise nitaku-PM ili tuweze kuongea na kupeana contact details kwa undani zaidi mhe.
Much respect to you Sir Kyachakiche
 
Back
Top Bottom