Eti anapenda vya Supermarket

Hahhhahaahahahhhahahah vidagaa vinaogelea hahahhahahh. U made my day.
 
KFC ya bongo wale sio kuku wale. Ni imitation kuku meat.

Sijawahi kula kuku walio bland namna hiyo.

Halafu hata zile herbs za KFC naona hawatumii zile zenyewe zilizompatia Col. Sanders ujiko.
Kinachonishangaza KFC yenyewe ukiwa South Africa iko poa sana kuku wake sijaelewa tatizo liko wapi?

Ila all in nadhani Nandoz ndio wanaongoza kwa kugrill kuku, hawa ni wareno wako poa sana kwenye idara ya kuku.

Tatizo la Bongo hata Jeans ya Levis siyo yenyewe, sisi kila kitu ni kinyume tumebakiza kutembelea kichwa.[emoji2] [emoji2]
 

Kweli aisee....we eti unakuta Versace zinauzwa Mwenge....really?
 
Kweli aisee....we eti unakuta Versace zinauzwa Mwenge....really?
Niliona South Africa All Star inakimbizana na bei ya Nike kuja Bongo eti All star buku 20! Watanzania wana utani sana.

Ndio maana hata Mbowe alipochakachuwa Hard rock cafe, Cape Town nilikuta wameandika kabisa Hard rock cafe Cape Town, the only original hard rock cafe in Africa.
 
Kumbe Evelyne salt ni mwanaume!!! siku zote najua wewe ni ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…