Hapo nimeona kilambio tu nimekoma, sembuse kifunika kikojoleo?....hebu acheni kumnyanyapaa babu yenu. Ukizingatia leo nimevaa suruwale ya tetroni afu nimechomekea. Mnataka niazirike huku kijiweni?mh,babu na ww! kwani bibi bado hajarudi?manake naona mawazo yanazidi kukata mawimbi! kama amekuachia gagulo nadhani its high time uanze kulinusa kabla hali yako haijakuwa hali ya hewa
Hivi babu sijakuona kwenye mnuso wangu wa anniversary au babu ni mchoyo wa baraka?Sema HakyaMungu.........
Hahahaha...kwa hiyo anaenda kunusa kifunika kikojolea changu? LOL
Mbona tuko wengi........ hebu niPM kwa ajili ya logistics
Hili swali la kwangu au la aliyechukua shati langu?
Hivi huo na ni mdhalilisho?
Akirudi bibi ntamuuliza.
You can say that again and again and again!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)
Ni hivi:
Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.
Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.
Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.