Aiseeehahaloooooooooooooooo halooooo babuuuu..halooo yababuuuu.....harufuuuu:fish:!!!!!!!!!!
nkweli ...akienda mbali kuwa na shat lake muhimu..sjui kwanin lakin ni km THERAPY fulan ivi km ukimmsii mtu aswa uliye nae kwenye mahusiano na mnapendana kikweli..
ni km vle kutembea na picha yake...lakin ukiwa na km shat ambalo lna harufu yake BASI HALI INAKUWA HAI ZAID...!!!!!
Aiseee....na wewe hua unachukua?!usiogope jamani...kawaida sana hususan kwa mtu unayempenda na kupenda kila saa uwe karibu nae basi kale kaharufu ka jasho lake kanakufanya unajisikia rrrrrrrrrrraha sana kama uko dunia nyingine vile
usiogope jamani...kawaida sana hususan kwa mtu unayempenda na kupenda kila saa uwe karibu nae basi kale kaharufu ka jasho lake kanakufanya unajisikia rrrrrrrrrrraha sana kama uko dunia nyingine vile
Wanawake mna mambo !!!!!!!!!!!!!!usiogope jamani...kawaida sana hususan kwa mtu unayempenda na kupenda kila saa uwe karibu nae basi kale kaharufu ka jasho lake kanakufanya unajisikia rrrrrrrrrrraha sana kama uko dunia nyingine vile
Afazali mwaego............ngoja nimtumie na jingine aburudike zaidi LOLusiogope jamani...kawaida sana hususan kwa mtu unayempenda na kupenda kila saa uwe karibu nae basi kale kaharufu ka jasho lake kanakufanya unajisikia rrrrrrrrrrraha sana kama uko dunia nyingine vile
Inaumisa sana aseeaisee.........ound:
Afu kuna hendikachifu yangu siioni, sijui ndo atakuwa kaondoka nayo? Siamini kama makamasi yana harufu walah LOLBabu..............kweli una visa
Haya bana mie naogopa kusema!! (..............Una uhakika huyu bibi hajameza mtoto tumboni?)
Mi ctaki iwe maana utahamisha mapenzi Babu
twazipenda hasaaa asikwambie mtu....mie wangu nshamkataza kutumia hayo na ametii amri!Aseee!!!
Kumbe Mnapenda harufu ya majashooeee!!!
sasa mbona hamtuambii tuache kutumia haya ma-roll on na body spray??
Rose..........hiyo red hebu itafsiri kiinglish au uisome kwa sauti.
Babu yu kitandani huku.
Dada mbishi akiwa kazini...........Aiseee....na wewe hua unachukua?!
Hahahaha.... kweli asee....kumbe haya madude tunapoteza hela zetu tu. Heri tujimwagie biya.Aseee!!!
Kumbe Mnapenda harufu ya majashooeee!!!
sasa mbona hamtuambii tuache kutumia haya ma-roll on na body spray??
Umeona eh?Wanawake mna mambo !!!!!!!!!!!!!!
Hakuna ubaya. Nlitaka kujua tu isije ikawa waifu kageuka kigagula.....aiseeeee!......kwani kuna ubaya mkeo au mpnz wako kupenda harufu yako.......anyway mm bado sijaoa labda hapa naweza shauri sivyo....ingawa nafikiri its o.k
Agrrrrrrrr....kumbe ushaolewa! Nshakasirika !!!twazipenda hasaaa asikwambie mtu....mie wangu nshamkataza kutumia hayo na ametii amri!
Hahahhahaha.......we ni mkareeee........ mi natinga andawea yake kama Beckham! (Maswali mengine hayana adabu LOL)babu jaman...KINASA/KITASA/KIFUNGO/KIFUNIKO=CHU.P.I
bib anaonekana anakupenda kweli babu na ndoa mana katembea na oltenatve kinyume chake angeenda kutafuta substute ju kwa ku
wala hana niambaya ...anakupenda kweli...
wewe UKISAFIRI UWA UNABEBA NINI CHAKE?
Babu mi sijawahi kupenda mtu wala harufu kwahiyo nashangaa pamoja nawe!!Dada mbishi akiwa kazini...........!