Eti anaamini nitakuwa wake

mkuu achana nae huyo anakupotezea muda tu. Wakati anakuambia hakupendi alikuwa na mtu sasa amekorofishana naye ndio anataka kuja kwako. Mpotezee huwezi ukafanywa plan b tena kwa jibu baya.

ndicho nilichoamua, yamemshinda alikokuwa ndiyo aanze kunipenda mimi, hii imekula kwake
 
Sema na moyo wako! Kama bado wamfeel, don't kid urself la kama moyo ushakuwa black, hakuna kitu aweza kufanyia!

hayupo tena moyoni mwangu, sina hisia kwake hata kidogo, namuonea huruma na huko kujifariji kwake
 
Mpaka umeleta humu ni kwamba yuko moyoni mwako ila tu unajibu mapigo kwa alivyokutesa, usijiumize bure jiulize kama bado unampenda jitose, acha kufikiria nani atasema nini, this is your happiness your playing with! shauri yako usije sema sijakwambia

tafsiri yako yaweza kua kweli ila sio lazima kama ulivyo komfem.
mimi pia nilishakutwa na hali kama hii tena toka kwa mtu ambae mimi wala sikua nimewah kumtongoza,
ilatu yeye mwenyewe alinipenda ila ikashindikana me kua nae.

kw akili inayofanya kazi vyema, kauli kama hyo ya "lazima awe wangu" inaweza kua na mengi.
hapa tuzinagtie nguvu ya fedha, uwezo wa akili binafsi ya mtu, ndumba n.k katika kufanyahila kwa mwenzake.
kama ulishamwambia mtu kua uwezi kua nae, na ukampa sababu ni kua unamtu ila yeye akakamia tena kwa ujasiri
lazima ufkirie mara mbili.

nachomshauri jamaa ni kua awe makini sana na huyo mtu. anaweza kumfanyia setup, kumwendea kwa ndubma,
au akmset dem wa jamaa ili jamaa aone kama demwake anamsaliti. n.k
 
hyo mpotezee tu anakuja kwako kimasirahi kama ulikuwa ulijui piga chini mzigo huo haukufai hata kidogo
 
tafsiri yako yaweza kua kweli ila sio lazima kama ulivyo komfem.
mimi pia nilishakutwa na hali kama hii tena toka kwa mtu ambae mimi wala sikua nimewah kumtongoza,
ilatu yeye mwenyewe alinipenda ila ikashindikana me kua nae.

kw akili inayofanya kazi vyema, kauli kama hyo ya "lazima awe wangu" inaweza kua na mengi.
hapa tuzinagtie nguvu ya fedha, uwezo wa akili binafsi ya mtu, ndumba n.k katika kufanyahila kwa mwenzake.
kama ulishamwambia mtu kua uwezi kua nae, na ukampa sababu ni kua unamtu ila yeye akakamia tena kwa ujasiri
lazima ufkirie mara mbili.

nachomshauri jamaa ni kua awe makini sana na huyo mtu. anaweza kumfanyia setup, kumwendea kwa ndubma,
au akmset dem wa jamaa ili jamaa aone kama demwake anamsaliti. n.k
Aende kwenye ndumba tena??? hilo tu sio sahihi ila mengine anaweza ku aply
 
bora angeniambia hanitak, lakin sikupendi neno zito
Pia kuna wanao sema sikupendi huku roho zao zinasema nakupenda, fikiria kwa makini ukiona vipi usimu entertain kumsikiliza sababu wanawake wengine tukipewa mwanya tu wa kujieleza kosa kubwa sana!
 
Kweli wanadamu tumetofautiana sana... Miaka mitatu lazima una mtu aliyekusikiliza na akakupokea, itakuwa ajabu kumtema huyo kwa ajili ya aliyekupa za uso. Na hata kama huna mtu unapaswa kuwa makini sana usije lia mbeleni,au mambo yako yamekuwa bomba zaidi bidada anakuja kimaslahi zaidi. Kama alikwambia hakupendi na anaye anayempenda, leo hii akikwambia anakupenda utamwamini?
 
Back
Top Bottom