chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Wewe nae una matatizo, kama alikuwa na kaka yake, kwanini akudanganye? Hujiulizi tu? Huyo hajafanya maamuzi, ingia barabarani kutafuta mwingine, acha kumpigia kabisa. Na huo mkwara wa yeye na wewe basi ni kwa sababu anajua yeye ndie mwenye makosa. Mara nyingi alie na kosa huwa anaoverdo mambo akidhani ndicho kinachopaswa kufanyika ili ionekane kweli. Angekuwa mkweli, angetaka kukuumbua palepale kwa kumuita kaka yake athibitishe kuwa ni kweli wana undugu.
Hivi mbona mnakuwa mazuzu kirahisi hivyo? Mtu unataka kumuoa, adanganye yuko home, umkute bar yuko na jamaa, anadai nivkaka yake baada ya kuwa umempiga kibao, kwanini asimuite huyo kaka amtetee?
Kama alikuwa na kaka hapakuwa na sababu ya kukwambia uwongo na pia asingeshtuka kukuona na vilevile asingekimbia..nadhani alikufanya ATM. Ndo dada zetu walivyo ck hizi..walio wengi japo wapo waaminifu wachache
Habari,wandugu natumaini mko poa, mmi Nina mpenzi wangu tumekuwa nae kwenye mahusiano huu ni mwezi wa tatu,sio siri huyu binti nampenda sana, nimejitahidi kumhudumia kadri niwezavyo kwa mda mfupi nilikuwa nae, kwa sababu Nina nia ya kumuoa,sasa juzi nilikuwa na rafiki Yangu tupo maeneo ya Sinza tukapita kwenye bar moja hivi ghafla nikamuona mpenzi wangu nae yupo mle ndani ya bar anakunywa kinywaji wakiwa wamekaa na mwanaume mmi simjui, ndipo nikaamua kumpigia Simu mpenzi wangu nakumuuliza yuko wapi.
Akapokea Simu nakunijibu yupo nyumbani kwao anapika na wakati minamuona yupo na kijeba wanakunywa vinywaji huku wanacheka, sio siri nilipatwa na hasira ndipo nikaamua kumtuma rafiki Yangu akamuite ili niongee, aliponiona alishangaa na aliponisogelea2 sikumsemesha neno lolote nikampiga Kofi moja la nguvu rafiki Yangu akanishika mikono na watu wakajaa kidogo, nikaamua kuondoka na yule binti akawa amekipingia.
Sasa zimepita siku mbili yule binti nimempigia Simu akapokea akaniambia yule alikuwa kaka yake mtoto wa baba yake MDOGO na pia ameniambia mmi na yeye basi amesema hawezi kuishi na mtu kama mmi tena, nimejaribu kumuomba msamaha lakini wapi amekataa katakata, naombeni msaada wa mawazo jamani nifanyeje?
Eti Kofi moja2 lini koseshe mke jamani?
Mkuu nilitaka niseme hivi hivi. Hongera kwa kuiba point yangu...
Toka lini mdogo mtu na kaka mtu wakakaa bar !?
Wewe nae una matatizo, kama alikuwa na kaka yake, kwanini akudanganye? Hujiulizi tu? Huyo hajafanya maamuzi, ingia barabarani kutafuta mwingine, acha kumpigia kabisa. Na huo mkwara wa yeye na wewe basi ni kwa sababu anajua yeye ndie mwenye makosa. Mara nyingi alie na kosa huwa anaoverdo mambo akidhani ndicho kinachopaswa kufanyika ili ionekane kweli. Angekuwa mkweli, angetaka kukuumbua palepale kwa kumuita kaka yake athibitishe kuwa ni kweli wana undugu.
Hivi mbona mnakuwa mazuzu kirahisi hivyo? Mtu unataka kumuoa, adanganye yuko home, umkute bar yuko na jamaa, anadai nivkaka yake baada ya kuwa umempiga kibao, kwanini asimuite huyo kaka amtetee?
Sikubali umeniigia hahahaa(joke)
umefanya kosa kubwa sana kumpiga mtoto wa watu bila hta kumuuliza aliyekaa naye ni nani
ukaamua kuchukua silaha mkononi ona sasa ushakosa maji ya moto
kumbuka kuwa
HASIRA HASARA UMESHAJIKOROGA UNA BUDI KULINYWA
hata ingaekuwa mm umenidhalilisha kwa watu kiasi hicho umenipiga bila sababu nakusepa tu kimtindo bila hata kupiga honi