Eti ameniacha kisa kofi moja tu

FUATILIA ATAKUWA YUKO NA HUYO NDG YAKE
 
Kwann aongope yuko home wakati yuko bar?
 
Niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Naangalia mpira tumechapwa 2-0 yaani wanakimbia kimbia tu uwanjani wakati nafasi za wazi wanazipoteza. Tungeweza kuwa hata 2-2.

Mie mzima kabisa hofu kwako....
 
Sasa kaka ni kaka yake kwa nini akudanganye yuko nyumbani anapika wakati yuko bar
 
Niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Naangalia mpira tumechapwa 2-0 yaani wanakimbia kimbia tu uwanjani wakati nafasi za wazi wanazipoteza. Tungeweza kuwa hata 2-2.
Ooooh too bad for us jamani
 
Reactions: BAK
Mkuu kwa maoni yangu haupo serious kwanza kabisa hujakosea kumtia adabu maana kwanza kakudanganya kwamba yupo kwao anapika ilihali sio kweli pili ni kuwa huyo mwanaume lazima atakuwa mme mwenzako maana ingekuwa sivyo asingekudanganya huyo binti. Hivyo basi kwangu mimi ulikuwa sahihi kabisa.
 
Ilo goli la mkono chenga ulipigwa pale ulipoambiwa yuko nyumbani anapika .jipime uwezo wako unaweza kuendelea kwenye rafu gem kama hiyo
 
Hapa ndo nashawishika kusema siku hizi wanaume wanapungua yaani hapo ilibidi apate bakora za kutosha na mahusiano yaishie hapo.
Mkuu piga moyo konde endelea na habari nyingine.
 
Na yeye hata kukudanganya akashindw kama ni mtoto wa baba yake mdogo kweli kwa nini adanganye kwamba yupo nyumbani anapika? hizo ni dharau kabixaaa na wewe unaomba msamaha wa nini acha kujishusha mkuu
Wanaume wachache sana siku hizi
"Eti nampenda sana", nonsense
Ukitongoza sasa iwe msichana au mwanamke jua alikuwa na mtu kabla na akakukubari wewe
So suala la kujiongeza tu
 
Wala hakupendi huyo...kwanza muongo. Kofi moja ni kitu gani bhana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…