Eti alipewa kabinti ka shule kam-kampani!

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Kuna taarifa amenipa rafiki yangu mmoja aliyekuwa safarini lindi kwa mwezi na nusu zimenitatiza mno, nikalazimika kuziandika hapa. Jamaa huyu aliendea Lindi ktk wilaya ya lindi vijijini kikazi. Kama ambavyo mnafahamu mazingira ya wilaya hii ni mabaya mno kwa wageni maana ni shida sana kupata sehemu za kununua chakula na pengine hata sehemu za kulala.

Baada ya kuhangaika kujipikia kwa muda wa takriban wiki hivi, best huyu alihurumiwa na mama mwenye nyumba na kuingia mkataba wa kusaidiwa kupika kwa makubaliano ya kuchangia gharama za matumiza hapo nyumbani. Kwa kweli, hili lilikuwa ni wazo jema sana kwake maana hali ya kujipikia ilikuwa imemchosha kabisa.

Utaratibu ulikuwa rahisi, mama anapika chakula na kumpa bintiye ampelekee chakula jamaa na baadaye binti anafuata vyombo. Utaratibu huu uliendelea na baadaye mama mwenye nyumba akamlazimisha bintiye ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita awe anasubiria vyombo kila anapopeleka chakula usiku. Hili lilimchanganya jamaa yangu mwanzoni, akawa amkifukuza yule binti na kumwambia awe anafuata vyombo baada ya nusu saa. Baada ya siku chache, mama alibadili utaratibu na kumshauri mwanae ampe kampani jamaa usiku na kisha asbh arudi na vyombo, akidai eti si vzr mgeni kulala pekee yake. rafiki yangu huyu alistuka na kuamua kumfuata mama kumuuliza yamekuwaje mambo hayo. Yule mama alimwambia jamaa asiwe na wasi wasi, apate kampani ya mwanae maana ni yeye ndiye aliyemruhusu!

Kwa kuwa jamaa yangu huyu naye kwenye field hii kashindikana, alikiri wazi kwamba alikaa na kabinti hako bila huruma kwa muda wote huo kaki-mkampani halafu asbh kanaenda shule (hii ilikuwa baada ya kufungua shule) kama kawaida mpaka aliporudi wiki iliyopita

HP Nilipofanya uchunguzi kwa kuwauliza wakazi kadhaa wa Lindi, wengi walikiri kuwa matukio kama hayo ni mengi na ni jambo la kawaida mwanamke kumpa mwanaume huduma ya kimapenzi na haijalishi anayetoa ni mwanafunzi au Laa, na zoezi hili ni rahisi kuliko hata gharama za kununua chumvi!

Kwa kifupi taarifa hizi zilinisikitisha mno kwa mama kuamua kumgawa mwanawe kirahisi hivi kwa wanaume kwa visenti vichache na kujisikia kulihurumia Taifa na vijana ambao hawajaoa sasa, hususan wa Lindi maana style ya wake watakaowapata yumkini ikawa kama hii!

Je wenzangu mmewahi kusikia taarifa kama hizi? Je mnafikiri nini kifanyike kupunguza tabia za namna hii kuokoa hili taifa? Na watu wa dizaini kama huyu jamaa yangu wasio na aibu wanaishi na kitoto cha darasa la sita wafanywe nini?

Wenu,

HorsePower
 
Hata mimi nasikia kuwa makabila ya huko Lindi mwanamke kumnyima mwanaume ile kitu aliyopewa bure na Mungu wanaona ni dhambi.
 
Duh! hata kama ulichopewa na mungu kumnyima mtu dhambi lakini ndio ukigawe kama pipi japo umepewa bure? huyo mama anahitaji darasa la kisawa sawa,na huyo rafiki yako nae pia sie hata kama angesema vp huyo mama angemwambia asante asinge mlazimisha,mtoto wa darasa la sita atakupa nini mwanamme aloshiba kama sio kutaka kumfisidi mtoto wa mwenzio.....
 
huyo jamaa nae ovyoooooo,kujifanya hataki mwanzoni kumbe mate yanamdondoka...
 
ni dhabi kubwa mm siwezi kufanya chezo nchafu kama huu hata kama mama yake kamruhusu, wakati mwingine sio wanafanya kwa kujitakiahaya yote yanafanywa kutokana na maisha magumu,pengine ndiyo maisha bora aliyo tuahidi Mh wa nchi.
 
Kuna taarifa amenipa rafiki yangu mmoja aliyekuwa safarini lindi kwa mwezi na nusu zimenitatiza mno, nikalazimika kuziandika hapa. Jamaa huyu aliendea Lindi ktk wilaya ya lindi vijijini kikazi. Kama ambavyo mnafahamu mazingira ya wilaya hii ni mabaya mno kwa wageni maana ni shida sana kupata sehemu za kununua chakula na pengine hata sehemu za kulala.

Baada ya kuhangaika kujipikia kwa muda wa takriban wiki hivi, best huyu alihurumiwa na mama mwenye nyumba na kuingia mkataba wa kusaidiwa kupika kwa makubaliano ya kuchangia gharama za matumiza hapo nyumbani. Kwa kweli, hili lilikuwa ni wazo jema sana kwake maana hali ya kujipikia ilikuwa imemchosha kabisa.

Utaratibu ulikuwa rahisi, mama anapika chakula na kumpa bintiye ampelekee chakula jamaa na baadaye binti anafuata vyombo. Utaratibu huu uliendelea na baadaye mama mwenye nyumba akamlazimisha bintiye ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita awe anasubiria vyombo kila anapopeleka chakula usiku. Hili lilimchanganya jamaa yangu mwanzoni, akawa amkifukuza yule binti na kumwambia awe anafuata vyombo baada ya nusu saa. Baada ya siku chache, mama alibadili utaratibu na kumshauri mwanae ampe kampani jamaa usiku na kisha asbh arudi na vyombo, akidai eti si vzr mgeni kulala pekee yake. rafiki yangu huyu alistuka na kuamua kumfuata mama kumuuliza yamekuwaje mambo hayo. Yule mama alimwambia jamaa asiwe na wasi wasi, apate kampani ya mwanae maana ni yeye ndiye aliyemruhusu!

Kwa kuwa jamaa yangu huyu naye kwenye field hii kashindikana, alikiri wazi kwamba alikaa na kabinti hako bila huruma kwa muda wote huo kaki-mkampani halafu asbh kanaenda shule (hii ilikuwa baada ya kufungua shule) kama kawaida mpaka aliporudi wiki iliyopita

HP Nilipofanya uchunguzi kwa kuwauliza wakazi kadhaa wa Lindi, wengi walikiri kuwa matukio kama hayo ni mengi na ni jambo la kawaida mwanamke kumpa mwanaume huduma ya kimapenzi na haijalishi anayetoa ni mwanafunzi au Laa, na zoezi hili ni rahisi kuliko hata gharama za kununua chumvi!

Kwa kifupi taarifa hizi zilinisikitisha mno kwa mama kuamua kumgawa mwanawe kirahisi hivi kwa wanaume kwa visenti vichache na kujisikia kulihurumia Taifa na vijana ambao hawajaoa sasa, hususan wa Lindi maana style ya wake watakaowapata yumkini ikawa kama hii!

Je wenzangu mmewahi kusikia taarifa kama hizi? Je mnafikiri nini kifanyike kupunguza tabia za namna hii kuokoa hili taifa? Na watu wa dizaini kama huyu jamaa yangu wasio na aibu wanaishi na kitoto cha darasa la sita wafanywe nini?

Wenu,

HorsePower
Mimi natokea mkoa wa Lindi na nimeishi karibu wilaya zote za mkoa wa Lindi na Mtwara na katika maisha yangu yote huko sijawahi kuishuhudia tabia hii. Lakini sikubishii, labda imeanza siku za hivi karibuni maana huu utandawazi huu!!!!!
 
UKIMWI utaisha kwa kasi hii kweli?

Mi nakumbuka wakati nilipomaliza shule nasubiri matokeo ya mtihani niliamua kutoka kwetu Mkuranga niende Nangurukulu kufanya biashara ya mbao. Basi kuvuka daraja la asante Nkapa, kufika Somanga tu nikaona kuna kinadada wengi wa habari, nikajisemea mwenyewe "yanini kununua dukuduku la kujiuliza kama nimechangia minyenyere na madereva malori?". Basi nikavaa chupi la bati mwanamme na kuipiga kufuli, sio ngumu kama unavyofikiri. Ukitaka kuweza tafuta picha ya mtu aliyekwisha kwa UKIMWI halafu iangalie vizuri sana, kisha kila unapopata matamanio ikumbuke ile picha. Utasinyaa mwenyewe mara moja.

Cutty Ranks katika wimbo wake "Disappear" alisema "You wan' fi eat ev'ryting, mind you eat poison"

Ukitaka kula kila kitu, angalia usile sumu.

Na huyu bwana hawezi ku justify kwa sababu mama karuhusu, mtoto wa shule underage kulala naye hivyo si tu ni ushenzi, bali pia ni statutory rape. Angejuaje kama mama hasuki mpango wa kusema kwamba makubaliano yalikuwa aletewe chakula halafu akambaka binti? Regardless ya makubaliano, kwa sheria zetu hii ni statutory rape, mtu anaweza kuangalia mvua 30 kirahiiiisi tu.

Halafu kama alikuwa na ukware sana na sehemu inaonyesha ina "ukarimu" hivyo alishindwa nini kupata mtu? Au hata kumsaini huyo mama mwenyewe kuwadi?

Mtoto wa shule kama huyo noma.

Lakini kuna mijitu hapa ndiyo kama imetangaziwa biashara, inaweza hata kuomba address kwenye PM ikatest zali!
 
mimi nimesikia Lindi hiyo tabia ipo ingawa sina uhakika

na vile vile nimesikia Msumbiji na Madagascar pia hiyo tabia hipo..

sasa sijui connection yake

kuna mtu alienda Mozambique

kufika kule akashangaa kama una mpenzi wako ni mwanafunzi
hata kama yuko 16 au 17
unaenda shuleni unaingia hadi darasani na kumuomba mwalimu akutolee mpenzi wako muongee nje
mnapanga miadi yenu halafu mwanafunzi anarudi darasani na wewe unaondoka zako
pata picha hapo..
 
Nikiiangalia hii kwa mtazamo mwingine pengine kuhama kwa vijana kutoka vijijini kuja kufanya umachinga mijini kunachangia kupalilia mawazo kwa huyu mama kwamba "mtoto anaweza kukosa wa kumuoa" na kumfanya aamini kwamba "kumtoa binti kafara" hivi kunaweza "kulipa" kama kijana wa mjini atapendezwa na kufika bei.

Freddy McGregor aliimba.

To be poor is a crime
Man haffi know dat inna dis ya time

Umasikini wenyewe si uhalifu, lakini unakuweka katika temptations sana za kufanya uchafu. Sifikiri kama huyu mama angejiweza angefanya upuuzi huu.

So much for "Maisha bora kwa kila Mtanzania"
 
Back
Top Bottom