Umetoa mfano mzuri. Watu wanaamini wakishajulikana basi inatosha, na wafuasi wao wanaamini kwa vile mtu wao anajulikana basi inatosha. Hivi vitu ni kujipanga na kuwa na mbinu sio kutia huruma na kusubiri lawamaKifupi Dada alijiandaa mapema wengine wamekurupuka tu. Jamaa yetu humu kwenye uchaguzi kawe huko wajumbe 200kapata kura 1tu
Acha kufikiri kwa kutumia "sehemu za kukalia" , umesikia amekataliwa ama amekosa wadhamini?
Yani hata kama hakidhi vigezo unataka tu achukuliwe kwasababu anatoka upande mmoja wa muungano?
#AchaUpumbavu