Ethiopie hiyo

Ethiopie hiyo

Alieharibu Ni aliepita,kwa huyu wa sasa tunaweza fika aisee,mdogomdogo
wewe mwenye chakula tele amefanya nini,emu tupe statistics za watu wanaokufa njaa ethiopia au unaongelea mambo ya miaka 1980
 
Wametuzidi kwa lipi, train na ndege? Angalieni data za world Bank au IMF. Hizi hapa za Wikipedia


Ethiopia (2015 estimates):
Population- 99.5m, GDP (PPP) –Total USD 164 billion, GDP Per Capita – usd 1700, ni nchi ya 174 kwa Human Development Index

Tanzania (2014 estimates):
Population- 51m, GDP (PPP) –Total USD 128 billion, GDP Per Capita – usd 2591, ni nchi ya 151 kwa Human Development Index

Hao wanaokamatwa Tanzania wakikimbia nchi yao, ni wakimbizi wa Kiuchumi, hakuna lingine.
ni aibu kwa Tanzania kujilinganisha na Ethiopia-Tanzania 3/4 ya ardhi ni rutuba tele tofauti na ethiopia,Tz ina eneo lenye maji kubwa karibu mara 10,Tza ina natural resoureces nyingi mara 100 zaidi ya ethiopia
 
ni aibu kwa Tanzania kujilinganisha na Ethiopia-Tanzania 3/4 ya ardhi ni rutuba tele tofauti na ethiopia,Tz ina eneo lenye maji kubwa karibu mara 10,Tza ina natural resoureces nyingi mara 100 zaidi ya ethiopia

Kama ni Natural resources, DR Kongo ingekuwa nchi tajiri kuliko zote Duniani, na Singapore ingekuwa taabani bin maskini. Ila kusema kuwa Ethiopia wametuzidi kwa mbali sana ni uongo. Hata hivyo ni kweli, hakuna Sababu wala faida ya Tanzania kujilinganisha na Ethiopia wala nchi yeyote. Muhimu kila mtu kwa nafasi yake atimize wajibu wake kwa familia yake na kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom