Ethiopia yawa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku magari yanayotumia mafuta. Ulaya inafuata 2035

Ngumu Kumeza Sera Itakuwa Ngumu Sana Kuelezea Maana Magari Ya Umeme Kuingia Africa Bado Sana.

Kama Magari Ya Mafuta Tu Nchi Nyingi Zinaagiza Magari Yaliyopitwa Na Wakati.

Sababu Bado Umaskini Ni Mkubwa.
Tanzania tunaongoza kwa kuagiza scraps,hadi matajiri wa bongo wanaagiza/nunua mitumba ya magari,hiyo sheria ikipitishwa wabongo watatembelea mikokoteni.
 
Nchi ya Ethiopia imepiga marufuku uingizaji magari ya kutumia Mafuta rasmi kuanzia mwaka huu.

Inakuwa Nchi ya kwanza Kuchujua hatua hiyo hapa Duniani huku Ulaya ikiwa imeweka deadline yake kufika 2035 hakuna gari ya Mafuta itaruhusiwa Barabarani.

My Take
Naunga mkono hoja Kwa sababu Kwa nini utumie Dola kuagiza Mafuta wakati Kuna alternative?

Tanzania tuige mfano maana tuna gas ya kutosha Kwa nini tuendelee kutumia Mafuta?

=========

Ethiopia becomes first country to ban internal combustion engines: Only EVs allowed​

While in the past less affluent countries have been the dumping ground for second-hand cars from other nations, Ethiopia is now the first country in the world to ban the import of all cars that are not electrically powered. In contrast to the European Union, which has a ban on the sale of cars with internal combustion engines from 2035, Ethiopia is about ten years ahead of schedule:

- Minister Alemu Sime
Having spent around $6 billion last year importing fossil fuels, Ethiopia's Ministry of Transport and Logistics has just decided to allow only electric vehicles to enter the country. One of the reasons for this drastic decision, according to Minister Alemu Sime, is the country's lack of access to cheap foreign currency. This makes it difficult to import petrol and diesel due to economic pressures:

- Alemu Sime according to APA News
At the same time, Ethiopia has been a major investor in its energy infrastructure in recent years. For example, Africa's largest hydroelectric power plant is due to be inaugurated soon, having already been partially commissioned on 20 February 2022 with the commissioning of the first two turbines with a total capacity of 750 megawatts.

However, full activation of the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) is not yet complete. The hydropower plant will not reach its full design capacity of 6,000 megawatts, and experts estimate that the capacity will be around 3,000 megawatts.

Nevertheless, by taking advantage of seasonal fluctuations and other energy sources, it can make an important contribution to the country's electricity supply. The next challenges are the improvement of the charging infrastructure and the reliability of the country's electricity supply. It is not yet known exactly when the new regulation will come into force and whether or not it will also apply to second-hand cars.
Issue ya Ethiopia anamsuport China kwa hali na Mali hata ikiwa anaumiza wananchi, Walishapiga marufuku Gari za Mtumba za Japan siku nyingi tu.

Na Gari za Umeme ni scam tu, zinaharibu mazingira kushinda mafuta, Ni gharama kubwa, Matengenezo makubwa etc. Sasa hivi watu wataanza kulalamika tena.
 
Ngumu Kumeza Sera Itakuwa Ngumu Sana Kuelezea Maana Magari Ya Umeme Kuingia Africa Bado Sana.

Kama Magari Ya Mafuta Tu Nchi Nyingi Zinaagiza Magari Yaliyopitwa Na Wakati.

Sababu Bado Umaskini Ni Mkubwa.

Uwezo wa kuagiza magari mazuri watu wanao sema kodi ni kubwa sana mpaka mtu anakata tamaa.

Angalia kodi za hapa kwetu ni almost nusu kwa nusu na gharama za kuagiza gari
 
Ethiopia wamekurupuka sana. Hiyo nchi haina tofauti na Kenya kwenye kujimwambafy huku wananchi wake wakiishi kwa mateso makubwa.
 
Nchi ya Ethiopia imepiga marufuku uingizaji magari ya kutumia Mafuta rasmi kuanzia mwaka huu.

Inakuwa Nchi ya kwanza Kuchujua hatua hiyo hapa Duniani huku Ulaya ikiwa imeweka deadline yake kufika 2035 hakuna gari ya Mafuta itaruhusiwa Barabarani.

My Take
Naunga mkono hoja Kwa sababu Kwa nini utumie Dola kuagiza Mafuta wakati Kuna alternative?

Tanzania tuige mfano maana tuna gas ya kutosha Kwa nini tuendelee kutumia Mafuta?

=========

Ethiopia becomes first country to ban internal combustion engines: Only EVs allowed​

While in the past less affluent countries have been the dumping ground for second-hand cars from other nations, Ethiopia is now the first country in the world to ban the import of all cars that are not electrically powered. In contrast to the European Union, which has a ban on the sale of cars with internal combustion engines from 2035, Ethiopia is about ten years ahead of schedule:

- Minister Alemu Sime
Having spent around $6 billion last year importing fossil fuels, Ethiopia's Ministry of Transport and Logistics has just decided to allow only electric vehicles to enter the country. One of the reasons for this drastic decision, according to Minister Alemu Sime, is the country's lack of access to cheap foreign currency. This makes it difficult to import petrol and diesel due to economic pressures:

- Alemu Sime according to APA News
At the same time, Ethiopia has been a major investor in its energy infrastructure in recent years. For example, Africa's largest hydroelectric power plant is due to be inaugurated soon, having already been partially commissioned on 20 February 2022 with the commissioning of the first two turbines with a total capacity of 750 megawatts.

However, full activation of the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) is not yet complete. The hydropower plant will not reach its full design capacity of 6,000 megawatts, and experts estimate that the capacity will be around 3,000 megawatts.

Nevertheless, by taking advantage of seasonal fluctuations and other energy sources, it can make an important contribution to the country's electricity supply. The next challenges are the improvement of the charging infrastructure and the reliability of the country's electricity supply. It is not yet known exactly when the new regulation will come into force and whether or not it will also apply to second-hand cars.

Hiyo kitu haina uhalisia
Mfano; Gari ilichajiwa inatembea wastani wa KLMS 250 hivi na sisi tunao nunua used yaweza kuwa chini ya hapo.
Baada ya hizo Kms utatakiwa kuicharge kwa masaa angalau 4hivi
1. Hii technologia ipo kwa magari madogo madogo ya kuzurura mjini na sio magari ya masafa hivyo sio kweli kuwa Ethiopia inaweza kuzuia magari yote ya nayo tumia mafuta.
2. Kunahitajika uwekezaji mkubwa wa vituo vya kucharge kabla ya kufanya hivyo
3. Lakini pia; ukiwa safarini unaweza kusimama masaa 5 kwa ajili ya kucharge Ndio uendelee na safari?
 
Safi sana na hii itawapa hamasa ya wao kutengeneza magari ya umeme pia
Kama la hata mchina ni mkombozi
Siku hizi kuna baiskeli za batteries zinakumbia mpaka 25 miles kwa saa
Kweli ukiwa na hiyo unahitaji nini cha ziada hata mwendokasi unaipita

Hongera zao
Sisi bado sana
 
Yani wewe naye ni wale wale tu , kama alivyosemaga lissu unahangaika na maendeleo ya vitu badala ya watu, hawa wakifika tanzania wanaona kama wapo ulaya kwao wanakufa njaa sasa hapo unaona kuna akili kweli?
Tanzania hii ambayo umeme tu shida?

Waethiopia hapa bongo wanapita tu kimagendo kuelekea south Africa ni kama njia tu, huko sauzi ndo kuna ndugu zao wamejazana wanafanya biashara, wakishafanikiwa ndio wanaenda kujazana mambele UAE au Washington dc USA
Wapo tayari wajazane kwenye lori ili mradi tu wafike sauzi.Ethiopia ni nchi yenye ardhi kavu na uhaba wa mvua na kinachowakimbiza nchini kwao ni njaa.

Ila kuhusu magari ya umeme wamekurupuka tu.
 
Kwa kuunga hoja huyu mleta mada na Ethiopia wote ndezi tu. Kwa umeme upi ulionao hadi upige ban gari za mafuta? Hao Ethiopia tu wamehemkwa, ni sheria ambayo naamini haitekelezeki.
Umeme wanao tena wa kutosha tu zaidi ya mara 50 ya umeme wetu

Ila waethiopia wengi hawana uchumi wa kumudu gharama za ununuzi na matengenezo ya hizo gari, sijui serikali imewaza nini
 
Unamchukia mtu kwa neema alizopewa na mungu huo ndio uchawi, usiruhusu moyo wako kuchukia neema za mwingine. Learn to love, yani watu tunajadili mambo ya technology wewe unachowaza kwamba muarabu atakoma kweli? Hivi tatizo ni elimu zetu au roho mbaya au poverty?
Huyo tatizo lake sio waarabu bali hua ana chuki na Uislamu,comment zake nyingi humu JF hua zimetawaliwa na chuki ya udini,labda utakua humjui tu,ni mtu wa hovyo kuliko hovyo yenyewe.
 
Hebu rudia tena.
Tuna gas ya kutosha au sijasikia vizuri?.
Kwani tatizo ni kukosekana kwa rasilimali au akili?
Ungesema kuwa tuna akili za kutosha ningekuunga mkono
Upo sahihi kabisa,kama hao waarabu wamepewa rasilimali ya gesi na mafuta tu wametengeneza nchi zao na kuboresha maisha na wananchi wao kwa kutumia hizo rasilimali mbili tu,

Afrika ina kila aina ya rasilimali ila maisha bado ni duni,
Mfano Nigeria wanayo hayo mafuta ila hali ni mbaya.
 
Unamchukia mtu kwa neema alizopewa na mungu huo ndio uchawi, usiruhusu moyo wako kuchukia neema za mwingine. Learn to love, yani watu tunajadili mambo ya technology wewe unachowaza kwamba muarabu atakoma kweli? Hivi tatizo ni elimu zetu au roho mbaya au poverty?
Haha kama anavyochukiwa marekani kisa wivu
 
Nchi ya Ethiopia imepiga marufuku uingizaji magari ya kutumia Mafuta rasmi kuanzia mwaka huu.

Inakuwa Nchi ya kwanza Kuchujua hatua hiyo hapa Duniani huku Ulaya ikiwa imeweka deadline yake kufika 2035 hakuna gari ya Mafuta itaruhusiwa Barabarani.

My Take
Naunga mkono hoja Kwa sababu Kwa nini utumie Dola kuagiza Mafuta wakati Kuna alternative?

Tanzania tuige mfano maana tuna gas ya kutosha Kwa nini tuendelee kutumia Mafuta?

=========

Ethiopia becomes first country to ban internal combustion engines: Only EVs allowed​

While in the past less affluent countries have been the dumping ground for second-hand cars from other nations, Ethiopia is now the first country in the world to ban the import of all cars that are not electrically powered. In contrast to the European Union, which has a ban on the sale of cars with internal combustion engines from 2035, Ethiopia is about ten years ahead of schedule:

- Minister Alemu Sime
Having spent around $6 billion last year importing fossil fuels, Ethiopia's Ministry of Transport and Logistics has just decided to allow only electric vehicles to enter the country. One of the reasons for this drastic decision, according to Minister Alemu Sime, is the country's lack of access to cheap foreign currency. This makes it difficult to import petrol and diesel due to economic pressures:

- Alemu Sime according to APA News
At the same time, Ethiopia has been a major investor in its energy infrastructure in recent years. For example, Africa's largest hydroelectric power plant is due to be inaugurated soon, having already been partially commissioned on 20 February 2022 with the commissioning of the first two turbines with a total capacity of 750 megawatts.

However, full activation of the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) is not yet complete. The hydropower plant will not reach its full design capacity of 6,000 megawatts, and experts estimate that the capacity will be around 3,000 megawatts.

Nevertheless, by taking advantage of seasonal fluctuations and other energy sources, it can make an important contribution to the country's electricity supply. The next challenges are the improvement of the charging infrastructure and the reliability of the country's electricity supply. It is not yet known exactly when the new regulation will come into force and whether or not it will also apply to second-hand cars.
Wapuuzi hata foreign currency tu ya kuagiza vitu nje hawana wanajifanya kuleta hizi drama za kutaka sifa.
Alowaroga waafrika aliloga pabaya
 
Back
Top Bottom