The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,782
- 53,553
Hao unaowaita wajinga,wametumia rasilimali zao kujitajirisha na kujenga nchi zao,wewe ambae sio mjinga na ni mwerevu una kila aina ya rasilimali ila mpaka leo huna umeme wa uhakika,na maisha ya watu bado ni duni.kwanza hawa waarabu ni wajinga sana laiti wangekuwa na akili wangeacha kuuza mafuta kwa wiki moja tu kisha ukajipimie