Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,027
- 144,381
Ni kweli hivi vitu tunavihitaji lakini sidhani kama ni sahihi kuvifanya viwe ndio vipaumbele vyetu vikuu kwa sasa tena kwa kuvitekeleza vyote kwa pamoja na pengine kwa gharama ya kukwamisha mambo mengine.
Sidhani kama ni sahihi kuelekeza fedha nyingi katika haya maeneo huku maeneo mengine nyeti kama kilimo,elimu na uhamasishaji na uendelezaji wa viwanda yakionekana kudorora.
Tanzania tunahitaji kuwekeza zaidi katika kilimo kinachogusa watu wengi pamoja na kuendeleza na kufufua viwanda mbalimbali ambavyo vitatoa ajira kwa watu wengi na kuongeza pato la Taifa hasa tukiwa na viwanda vingi vitakavyotumia mazao ya kilimo kama malighafi sambamba na viwanda vingine.
Ndugu zangu,ndege,fly over,treni za kisasa,n.k bila ustawi wa viwanda, kilimo, elimu, n.k,vitu hivi haviwezi kuleta tija inayokusudia.
Hivi vitu ni vichocheo tu vya uchumi lakini huwezi kuchochea moto pasipo kuwa na kuni na kuni zetu ni viwanda pamoja na kilimo bila kusahau elimu na mambo mengine.
Kwa mfano,treni zitasafirisha nini kama hakuna mazo au bidhaa za viwandani zinazohitaji kusafirishwa kwa wingi ili treni iwe na tija?
Tukiwa na viwanda vingi na maeneo mbalimbali ndani ya nchi,hatuoni watu watalazimika kusafiri kwa wingi kwenda makazini na kuongeza abiria watakaotaka kupanda treni kuwa makazini?
Tumetenga fedha kiasi gani kutangaza utali ili hata hizo ndege ziweze kupata abirai ambao watakuwa ni watalii wanaokuja hapa nchini?
Au tunasubiri ndege ziwasili ndio tuanze kutangaza utali kwa nguvu kubwa?
Labda tujiulize wenzetu Ethiopia wenye ndege,treni za umeme,fly over,n.k hali ya maisha ya wananchi wake ikoje?
Sio ndio hawa hawa kila siku wanakamatwa hapa nchini kama wahamiaji haramu wanaotaka kuvuka mipaka kutafuta maisha katika nchi nyingine?
Ni kweli tunahitaji ndege,fly-over,treni za kisasa,n.k, lakini ni lazima pia tu-balance mambo ili hivi vitu viweze kutuletea tija tunayoitaka.
Tunachokifanya kwa sasa ni sawa na mtoto anaejaribu kutembea kabla ya kutambaa.
Kupanga ni kuchagua.
Kwaherini.

Ni kweli kabisaaa....HAKIKA MKUU NI AJABU SANA KUWEKEZA KATIKA MAMBO AMBAYO SIO YA MSINGI KABISA.UNAWEKEZA KUNUNUA MANDEGE BIAASHARA ISIYO NA UHAKIKA KABISA WALA GURANTEE YA FAIDA YAKE.
MI NACHOJIULIZA KWA NINI WASIWEKEZE HATA KWENYE MADAWA NA TIBA.WAWEKEZE KWENYE ELIMU NA RESEARCH?KWA NINI TUSIWEKEZE KWENYE MIRADI YA KUINUA KWANZA MAISHA YA WATANZANIA WA HALI YA KAWAIDA?
Hata Mbowe ana magari, helikopita, mahoteli na mabilioni ya pesa ameficha ulaya ,Ni kweli hivi vitu tunavihitaji lakini sidhani kama ni sahihi kuvifanya viwe ndio vipaumbele vyetu vikuu kwa sasa tena kwa kuvitekeleza vyote kwa pamoja na pengine kwa gharama ya kukwamisha mambo mengine.
Sidhani kama ni sahihi kuelekeza fedha nyingi katika haya maeneo huku maeneo mengine nyeti kama kilimo,elimu na uhamasishaji na uendelezaji wa viwanda yakionekana kudorora.
Tanzania tunahitaji kuwekeza zaidi katika kilimo kinachogusa watu wengi pamoja na kuendeleza na kufufua viwanda mbalimbali ambavyo vitatoa ajira kwa watu wengi na kuongeza pato la Taifa hasa tukiwa na viwanda vingi vitakavyotumia mazao ya kilimo kama malighafi sambamba na viwanda vingine.
Ndugu zangu,ndege,fly over,treni za kisasa,n.k bila ustawi wa viwanda, kilimo, elimu, n.k,vitu hivi haviwezi kuleta tija inayokusudia.
Hivi vitu ni vichocheo tu vya uchumi lakini huwezi kuchochea moto pasipo kuwa na kuni na kuni zetu ni viwanda pamoja na kilimo bila kusahau elimu na mambo mengine.
Kwa mfano,treni zitasafirisha nini kama hakuna mazo au bidhaa za viwandani zinazohitaji kusafirishwa kwa wingi ili treni iwe na tija?
Tukiwa na viwanda vingi na maeneo mbalimbali ndani ya nchi,hatuoni watu watalazimika kusafiri kwa wingi kwenda makazini na kuongeza abiria watakaotaka kupanda treni kuwa makazini?
Tumetenga fedha kiasi gani kutangaza utali ili hata hizo ndege ziweze kupata abirai ambao watakuwa ni watalii wanaokuja hapa nchini?
Au tunasubiri ndege ziwasili ndio tuanze kutangaza utali kwa nguvu kubwa?
Labda tujiulize wenzetu Ethiopia wenye ndege,treni za umeme,fly over,n.k hali ya maisha ya wananchi wake ikoje?
Sio ndio hawa hawa kila siku wanakamatwa hapa nchini kama wahamiaji haramu wanaotaka kuvuka mipaka kutafuta maisha katika nchi nyingine?
Ni kweli tunahitaji ndege,fly-over,treni za kisasa,n.k, lakini ni lazima pia tu-balance mambo ili hivi vitu viweze kutuletea tija tunayoitaka.
Badala ya kununua ndege sita kwa wakato mmoja,nunua ndege tatu na hizo fedha zingine zielekezi kwenye kilimo,kufufua viwanda, kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji,n.k
Tunachokifanya kwa sasa ni sawa na mtoto anaejaribu kutembea kabla ya kutambaa.
Kupanga ni kuchagua.
Kwaherini.
Huo nii wivu wa jinsia ya KE yale mataa ya pale yapo toka mwaka 2013Ukishangaa flyover za dar, usiache pia kushangaa ghorofa la TRA chattle liliojengwa nje ya bajeti pamoja na taa za kuongozea magari
Hakuna anayepinga maendeleo ngugu! Watu wanachohoji ni mkuu kutaka kufanya vitu vingi kwa mara moja tena vingine bila kupangiwa bajeti na bunge! Maendeleo yaende sambamba na ustawi wa watu! Huwezi kuwanyima wananchi haki zao za msingi kama nyongeza ya mwaka ya mshahara na kupanda madaraja kwa kisingizio cha maendeleo! Talishachelewa na waliotuchelewesha ni hao hao ccm! Dereva aende kwa staha asijesababisha ajali!Nyinyi jamaa nyinyi. Daah! Hadi mnatia huruma. Hivi ni kweli mmekosa kabisa hoja mpk mnapinga hadi vitu vya msingi katika kuboost maendeleo ya nchi kama chachu ya kukuza uchumi wa nchi kiujumla.
Mimi nadhani kuna mtu ka hack misingi iliyo jiwekea chadema enzi za Dr slaa. Hii siyo bure.
Kama kweli wewe ni chadema, basi kama nchi tunasafari ndefu upata mbadala wa CCM kama chama tawala.
Nimeshituka ujue!