Ethiopia wana Ndege, fly-overs, treni za kisasa n.k lakini hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ikoje?

Una wivu wa kike. Yale mataa yapo toka utawala wa jk.Acha CHUKI za kijinga
Hongera mwenye wivu wa kiume. Unajitia upofu tu na unawaza kwa kutumia tumbo. Hicho kichwa hukupewa kufugia ndevu, kwani aliyekua waziri husika alikua hashim rungwe¿?
 
Nyinyi jamaa nyinyi. Daah! Hadi mnatia huruma. Hivi ni kweli mmekosa kabisa hoja mpk mnapinga hadi vitu vya msingi katika kuboost maendeleo ya nchi kama chachu ya kukuza uchumi wa nchi kiujumla.

Mimi nadhani kuna mtu ka hack misingi iliyo jiwekea chadema enzi za Dr slaa. Hii siyo bure.

Kama kweli wewe ni chadema, basi kama nchi tunasafari ndefu upata mbadala wa CCM kama chama tawala.
Nimeshituka ujue!
Kama demu vile
 
Mkuu umeelezea kwa ufasaha,ila sidhani kama mleta mada atakuelewa. Ni mojawapo ya wale wanaopinga kila anachofanya JPM. Wamejaa u vyama zaidi kuliko kutumia akili. Watu hawaelewi umuhimu wa kutoka Dodoma mpaka Dar kwa masaa 2 au 3, hawaelewi hasara za kukaa kwenye foleni masaa mengi jinsi uchumi unavyoathrika. Anachojaribu kueleza hapa mleta mada ni kuwa pesa za kujenga reli au kununua ndege ziingizwe kwenye mzunguko ili watu wawe na ela mifukoni. Maendeleo binafsi yanaletwa na mtu mwenyewe sio serikali,hata USA tunaiita LAND OF OPPORTUNITY lakini mpaka leo kuna ombaomba(bergers) zaidi ya milioni 2 countrywide,hayo ndo maisha waliochagua. Hata hapa TZ ukichagua kuwa mlalamishi na kushinda kwenye mitandao ya kijamii kupingana na serikali kama mleta mada, utaishia kuwa mlalamishi tu na siku zinasonga.
We nae huja muelewa jamaa hebu msome tena, mbona andiko lake linaeleweka Sana.
 
Nyinyi jamaa nyinyi. Daah! Hadi mnatia huruma. Hivi ni kweli mmekosa kabisa hoja mpk mnapinga hadi vitu vya msingi katika kuboost maendeleo ya nchi kama chachu ya kukuza uchumi wa nchi kiujumla.

Mimi nadhani kuna mtu ka hack misingi iliyo jiwekea chadema enzi za Dr slaa. Hii siyo bure.

Kama kweli wewe ni chadema, basi kama nchi tunasafari ndefu upata mbadala wa CCM kama chama tawala.
Nimeshituka ujue!
Mbona unaweweseka? Chadema imetokea wapi kwenye hili, ukiambiwa unawashwawashwa.
 
Wakimbizi wengi tu waethiopia,wanakimbilia ulaya.Tatizo panaendelezwa Addis Ababa tu.Kama tu Tanzania panaendelezwa Dar tu.Maendeleo bila kuendeleza socially ni sawa na zero.
 
Wananchi wao wanakimbia kila siku. Kuna maendleo ya vitu kule sio ya watu.
Hujaona juzi wamekamatwa huko mtwara
 
Hana akili kweli maana anaponda miundo mbinu anasahau tanzania tuna bandari ambayo ina serve inchi nying za congo, rwanda, etc sasa bila miundombinu imara lazima tu fail, maana mtu hawezi toka bandarini akae folen siku nzima, yeye anachukua reference ethiopia dah
Mkuu kuna watu wanataka serikali igawe pesa kwa watu badala ya kuwekeza kwenye miundo mbinu.
Sijui wakipewa tu,mwakani itatoka wapi ya kugawa?
 
Acha

kudanganya kama wote mazombi industrial revolution ilianza kwenye agricultural revolution kwanza sio treni na mambo ya steam engine

Kwanza unaelewa maana ya industrial revolution au Mapinduzi ya Viwanda? Bila ya Viwanda hakuna agricultural revolution, kwa maana ili uweze kuwa na agricultural revolution unahitaji mashine, miundo mbinu, chemicals, mbolea, n.k. sasa hivi vilitoka wapi kama agr. revolution kabla ya industrial rev?
 
Ni kweli hivi vitu tunavihitaji lakini sidhani kama ni sahihi kuvifanya viwe ndio vipaumbele vyetu vikuu kwa sasa tena kwa kuvitekeleza vyote kwa pamoja na pengine kwa gharama ya kukwamisha mambo mengine.

Sidhani kama ni sahihi kuelekeza fedha nyingi katika haya maeneo huku maeneo mengine nyeti kama kilimo,elimu na uhamasishaji na uendelezaji wa viwanda yakionekana kudorora.

Tanzania tunahitaji kuwekeza zaidi katika kilimo kinachogusa watu wengi pamoja na kuendeleza na kufufua viwanda mbalimbali ambavyo vitatoa ajira kwa watu wengi na kuongeza pato la Taifa hasa tukiwa na viwanda vingi vitakavyotumia mazao ya kilimo kama malighafi sambamba na viwanda vingine.

Ndugu zangu,ndege,fly over,treni za kisasa,n.k bila ustawi wa viwanda, kilimo, elimu, n.k,vitu hivi haviwezi kuleta tija inayokusudiwa.Hivi vitu ili viwe na tija ni lazima viambatane na uwepo wa shughuli nyingi za kiuchumi tofauti na hapo watu wengi watatumia miundombinu hii kusafiri kwenda kusalimia ndugu na jamaa na zaidi kusafirishia wagonjwa.

Hivi vitu ni vichocheo tu vya uchumi lakini huwezi kuchochea moto pasipo kuwa na kuni na kuni zetu hapa ni viwanda pamoja na kilimo bila kusahau elimu na mambo mengine.

Kwa mfano,treni zitasafirisha nini kama hakuna mazo au bidhaa za viwandani zinazohitaji kusafirishwa kwa wingi ili treni iwe na tija?

Tukiwa na viwanda vingi na maeneo mbalimbali ndani ya nchi,hatuoni watu watalazimika kusafiri kwa wingi kwenda makazini na kuongeza abiria watakaotaka kupanda treni kuwa makazini?

Tumetenga fedha kiasi gani kutangaza utalii ili hata hizo ndege ziweze kupata abirai wa kutosha ambao watakuwa ni watalii wanaokuja hapa nchini?

Au tunasubiri ndege ziwasili ndio tuanze kutangaza utali kwa nguvu kubwa?

Labda tujiulize wenzetu Ethiopia wenye ndege, treni za umeme,fly over,n.k hali ya maisha ya wananchi wake ikoje?

Sio ndio hawa hawa kila siku wanakamatwa hapa nchini kama wahamiaji haramu wanaotaka kuvuka mipaka kutafuta maisha katika nchi nyingine?

Ni kweli tunahitaji ndege,fly-over,treni za kisasa,n.k, lakini ni lazima pia tu-balance mambo ili hivi vitu viweze kutuletea tija tunayoitaka.

Badala ya kununua ndege sita kwa wakati mmoja,nunua ndege tatu kwanza(ATCL ilikufa taratibu,tuifufue taratibu)na hizo fedha zingine zielekezi kwenye kilimo,kufufua viwanda, kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji,n.k

Mfano mwingine.Kujenga reli ya kisasa kutoka Dar kwenda Kigoma ni jambo lenye logic kabisa lakini kujenga SGR kutoka Dar mpaka Dodoma kwa sasa sidhani kama ni jambo la zima na kwa mtazamo wangu ni bora hizo fedha zikaelekezwa katika maeneo mengime muhimu kwa sasa ikiwemo sekta ya Afya,umeme vijijini,mikopo ya elimu ya juu,n.k

Tunachokifanya kwa sasa ni sawa na mtoto anaejaribu kutembea kabla ya kutambaa.

Kupanga ni kuchagua.

Kwaherini.
Tatizo kubwa la Ethiopia hakuna viwanda vingi.....mwokozi wa ajira uwa ni msululu wa viwanda...The more the industries...the more job opportunities...ndo maana trump alikwambia atahakikisha wawekezaji wa viwanda waliokimbia kodi marekani atawarudisha ili apunguze tatizo la ajira
 
Tumeendesha kilimo kwanza mmetubeza,tumeendesha MMEM na MMES mmeponda kuwa ni shule za kata.
Hatushangai sasa kujifanya wataalam elekezi kutaka tusimamie kilimo na elimu.
Kupanga ni kuchagua,huwa hatusikilizi kelele za pinga pinga,kazi tu,tukutane 2020
 
Nyinyi jamaa nyinyi. Daah! Hadi mnatia huruma. Hivi ni kweli mmekosa kabisa hoja mpk mnapinga hadi vitu vya msingi katika kuboost maendeleo ya nchi kama chachu ya kukuza uchumi wa nchi kiujumla.

Mimi nadhani kuna mtu ka hack misingi iliyo jiwekea chadema enzi za Dr slaa. Hii siyo bure.

Kama kweli wewe ni chadema, basi kama nchi tunasafari ndefu upata mbadala wa CCM kama chama tawala.
Nimeshituka ujue!
Jibu kwa hoja na siyo kwa kukarili mkuu
 
Ni kweli hivi vitu tunavihitaji lakini sidhani kama ni sahihi kuvifanya viwe ndio vipaumbele vyetu vikuu kwa sasa tena kwa kuvitekeleza vyote kwa pamoja na pengine kwa gharama ya kukwamisha mambo mengine.

Sidhani kama ni sahihi kuelekeza fedha nyingi katika haya maeneo huku maeneo mengine nyeti kama kilimo,elimu na uhamasishaji na uendelezaji wa viwanda yakionekana kudorora.

Tanzania tunahitaji kuwekeza zaidi katika kilimo kinachogusa watu wengi pamoja na kuendeleza na kufufua viwanda mbalimbali ambavyo vitatoa ajira kwa watu wengi na kuongeza pato la Taifa hasa tukiwa na viwanda vingi vitakavyotumia mazao ya kilimo kama malighafi sambamba na viwanda vingine.

Ndugu zangu,ndege,fly over,treni za kisasa,n.k bila ustawi wa viwanda, kilimo, elimu, n.k,vitu hivi haviwezi kuleta tija inayokusudiwa.Hivi vitu ili viwe na tija ni lazima viambatane na uwepo wa shughuli nyingi za kiuchumi tofauti na hapo watu wengi watatumia miundombinu hii kusafiri kwenda kusalimia ndugu na jamaa na zaidi kusafirishia wagonjwa.

Hivi vitu ni vichocheo tu vya uchumi lakini huwezi kuchochea moto pasipo kuwa na kuni na kuni zetu hapa ni viwanda pamoja na kilimo bila kusahau elimu na mambo mengine.

Kwa mfano,treni zitasafirisha nini kama hakuna mazo au bidhaa za viwandani zinazohitaji kusafirishwa kwa wingi ili treni iwe na tija?

Tukiwa na viwanda vingi na maeneo mbalimbali ndani ya nchi,hatuoni watu watalazimika kusafiri kwa wingi kwenda makazini na kuongeza abiria watakaotaka kupanda treni kuwa makazini?

Tumetenga fedha kiasi gani kutangaza utalii ili hata hizo ndege ziweze kupata abirai wa kutosha ambao watakuwa ni watalii wanaokuja hapa nchini?

Au tunasubiri ndege ziwasili ndio tuanze kutangaza utali kwa nguvu kubwa?

Labda tujiulize wenzetu Ethiopia wenye ndege, treni za umeme,fly over,n.k hali ya maisha ya wananchi wake ikoje?

Sio ndio hawa hawa kila siku wanakamatwa hapa nchini kama wahamiaji haramu wanaotaka kuvuka mipaka kutafuta maisha katika nchi nyingine?

Ni kweli tunahitaji ndege,fly-over,treni za kisasa,n.k, lakini ni lazima pia tu-balance mambo ili hivi vitu viweze kutuletea tija tunayoitaka.

Badala ya kununua ndege sita kwa wakati mmoja,nunua ndege tatu kwanza(ATCL ilikufa taratibu,tuifufue taratibu)na hizo fedha zingine zielekezi kwenye kilimo,kufufua viwanda, kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji,n.k

Mfano mwingine.Kujenga reli ya kisasa kutoka Dar kwenda Kigoma ni jambo lenye logic kabisa lakini kujenga SGR kutoka Dar mpaka Dodoma kwa sasa sidhani kama ni jambo la zima na kwa mtazamo wangu ni bora hizo fedha zikaelekezwa katika maeneo mengime muhimu kwa sasa ikiwemo sekta ya Afya,umeme vijijini,mikopo ya elimu ya juu,n.k

Tunachokifanya kwa sasa ni sawa na mtoto anaejaribu kutembea kabla ya kutambaa.

Kupanga ni kuchagua.

Kwaherini.
Ukijua umuhimu wa miundo mbinu utajua jinsi inavyomsaidia mkulima,mtafiti na mchango wake kwenye sekta ya viwanda
 
Ndugu samahani lkn hauna akili, sijakutukana ila ndiyo ukweli, huwezi kujenga Uchumi endelevu bila ya miundo mbinu ya uhakika, ili ufanye biashara ambayo ni muhimu kiuchumi ni lazima uweze kutoa bidhaa kutoka eneo A kwenda B kwa urahisi na kwa haraka!

Mfano mdogo kama tusingejenga barabara leo hii watu waishio kwenu Moshi au Iringa wangewezaje kusoma Gazeti linalochapishwa leo hii sawa na Dar?

Ndiyo maana industrial revolution ilianzia na Reli, kwanza bila ya Reli kusingekuwa na Mapinduzi ya viwanda Dunia hii!
Wwe ndio mjinga na siyo mtoa mada eti industrial revolution ilianza kwa kujenga reli? Ina maana walikuwa hawajawawekeza kwanza kwenye elimu?? Kilimo ili kupata rasilimali?? Maji je ??? Shida siasa kwenye kila kitu ndio maana huoni hoja hapo

Ila huo ndio ukweli ni lazma tuangalie vipaumbele vyenye kulenga maisha ya watu yaani kuliko Kujenga airport chato kwanni msiwekeze pesa kwenye kilimo au viwanda ili watanzania wasio na ajira waende kwenye kilimo uchumi upae ndio mlete hayo mapangaboi kwa wingi

Maendeleo ya kweli ni ya watu sio vitu
 
Kwanza lazima tukubali kuwa maendeleo ni evolution kwa dunia ya tatu na sio revolution, yanakuja taratibu na yanatengenezwa au kujengwa. Ukiyafanya revolution hapatakalika hapa!!

china leo hii inaendelea sio kwa sababu ya uongozi wa sasa, ni matokeo ya miaka mingi ya kuwekeza kwenye nyanja kuu za uchumi

Infact walioendeleza na kuikuza china sio kizazi hiki, waliokuza canada na USA sio kizazi cha sasa, industrial revolution ya miaka ya 1700 ndio msingi wa ulaya ya leo na america ya leo kuwa hapo walipo

Ni ujinga uliopitiliza na ambao hausemeki kudhania kuwa Treni ikijengwa leo basi kizazi hiki kitafaidi! ni ujinga kudhani hivyo pia kwa ethiopia!

Unapotengeneza bases za uchumi kuna wanaumia kutengeneza, wako wanaofaidi kutumia pia!

Leo unaposafiri kutoka Dar e salaam kwenda Mwanza kwa barabara hauwezi kujua kuna nyakati sekenke palikuwa hapapitiki, infact kizazi cha kulala sekenke na mabasi ya carrier juu ndio kinapotea na walijenga nchi walipofikia!!

leo nikikuuliza unataka nini kifanyike ili kila mwananchi awe tajiri?? hiyo formula haipo duniani, kikubwa ni kujenga miundo mbinu, systems, huduma nzuri za afya, fursa za ajira, mazingira mazuri ya biashara n.k!!

Unapojenga reli leo na ndege bandari unajenga misingi ya ukuzi wa uchumi!! unapojenga haya kuna return lakini LAZIMA KIZAZI KIMOKA KIWE SACRIFICED kwa ajili ya vizazi vijavyo!! unapoona watu wanakuwa proud na nchi zao na kuzipigania kwa nguvu zote wanakuwa na sababu hiyo kwa sababu wako waliumia kwa wao kufika walipo, na wao wanaumia kw ajili ya vizazi vijavyo!!

ulichoongea hapo au mtazamo wako si wa mtu aliyeelimika, anayejua taifa lake na mengine ya meendaleaje!

It will interest to know you that maendelea ya china ambayo msingi ni kujenga reli, mabwawa, migodi ya makaa ya mawe na barabara za milimani, yalifanywa kwa MKONO katika model ya REVOLUTION na viongozi wao kuitwa madikteta nyakati hizo, leo wajukuu a vitukuu vyao vinaishi kwa kuringia kazi za baba zao, na wanapata nguvu ya kuendelea mbele zaidi kwa teknolojia mpya!! na wanjaa kariakoo kwa kuuza kila kitu!! unaweza? leo magufuli akiamua tujenge nchi kwa mikono?? can you?

unawezaje sasa kupambana na dunia hii bila kuwa na miundo mbinu madhubuti?? kama msingi wa maisha bora ni FEDHA fedha kanuni zake ni kuandaa mazingira, invest, weka miundo mbinu then una attract investors na huduma bora katika jamii! ndio maendeleo hayo

unless uje na model yako ya watu kuwa matajiri na fedha mifukoni mwao kwa namna ya tofauti kabisa, then tushindane kwa hoja
This is a bitter truth which Nyumbus aren't ready to comply with, tatizo hawa wenzetu wanataka tuwekeze pafupi ambapo hatuwezi kudumu hata nusu karne mbele, hawaelewi mazingira anayoyaweka Rais Magufuli kuwa ni endelevu na faida kwa next generation, wana akili za kibinafsi zisizo na faida wala manufaa baada ya hapa tulipo.

Tumuunge mkono Rais wetu.
 
Nyinyi jamaa nyinyi. Daah! Hadi mnatia huruma. Hivi ni kweli mmekosa kabisa hoja mpk mnapinga hadi vitu vya msingi katika kuboost maendeleo ya nchi kama chachu ya kukuza uchumi wa nchi kiujumla.

Mimi nadhani kuna mtu ka hack misingi iliyo jiwekea chadema enzi za Dr slaa. Hii siyo bure.

Kama kweli wewe ni chadema, basi kama nchi tunasafari ndefu upata mbadala wa CCM kama chama tawala.
Nimeshituka ujue!

hapo ndio kwenye lete hoja, kuw aujen zi w areli ni wneye manufaa kuliko kuwekeza kwneye Elimu, Afya na kilimo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom