Ethiopia wana Ndege, fly-overs, treni za kisasa n.k lakini hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ikoje?

Nyinyi jamaa nyinyi. Daah! Hadi mnatia huruma. Hivi ni kweli mmekosa kabisa hoja mpk mnapinga hadi vitu vya msingi katika kuboost maendeleo ya nchi kama chachu ya kukuza uchumi wa nchi kiujumla.

Mimi nadhani kuna mtu ka hack misingi iliyo jiwekea chadema enzi za Dr slaa. Hii siyo bure.

Kama kweli wewe ni chadema, basi kama nchi tunasafari ndefu upata mbadala wa CCM kama chama tawala.
Nimeshituka ujue!
Mkuu wewe ni kindakindaki na hautumii akili kufikiri kwa sababu ya ushabiki.
Mimi nimekaa ethiopia mwaka na miezi 3 nikiwa nasoma huko wana miundo mbinu mizuri, sana lakini maisha ya Raia ni hovyo Masikin kupita kiasi anächosema @Saraly Slip. ni sahihi kabïsa ametumia akili
 
Ndugu samahani lkn hauna akili, sijakutukana ila ndiyo ukweli, huwezi kujenga Uchumi endelevu bila ya miundo mbinu ya uhakika, ili ufanye biashara ambayo ni muhimu kiuchumi ni lazima uweze kutoa bidhaa kutoka eneo A kwenda B kwa urahisi na kwa haraka!

Mfano mdogo kama tusingejenga barabara leo hii watu waishio kwenu Moshi au Iringa wangewezaje kusoma Gazeti linalochapishwa leo hii sawa na Dar?

Ndiyo maana industrial revolution ilianzia na Reli, kwanza bila ya Reli kusingekuwa na Mapinduzi ya viwanda Dunia hii!
Leo umemsikia Hussein Bashe kuhusu hiyo reli? Endeleeni kubisha.
 
Back
Top Bottom