Ethiopia: Updates on war against TPLF

Hiyo yenye nyota ya Daudi ya blue ndiyo Bendera ya Taifa hii ina lbebwa na Jeshi la taifa. Huyu mdada kwenye picha amejitwalia umaarufu sana kwenye Jeshi la taifa. Amekua frontline KIKAMILIFU. Vijana wengi wa Ethiopia wanatumia picha yake kujenga morali kwa mabinti kwenda vitani
IMG_20211204_223225.jpg
IMG_20211204_223329.jpg

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli gani huo ili nianze kuswali kwenye dini inayotumia lugha moja?
Nitasali kwenye dini ambayo inatumia lugha zote kumuabudu huyo Mungu. Ninaweza kusali hata kwa kimakua huyo Mungu akanisikia.
we jamaa stick kwenye mada hapa tunaongelea updates za vita huko ethiopia..
 
Usikasirike mkuu! Hakuna sehemu yeyote ile duniani mfumo wa ukabila ukawa na manufaa zaidi kuliko hasara hivyo binafsi siuungimkono ukabila na nimeshasema hivyo post zangu zilizotangulia mkuu sema unapenda nilirudie hili mara nyingi.

Lakini kuna sehemu ukabila umeshakita mizizi kupitiliza kama ethiopia. Hao ni kuwaombea waishi kwa amani tu.
Ila ukweli ni Kwamba Labda waafrika hatujakomaa.Nchi nyingi za Ulaya mipaka yake ni ya kikabila zaidi.Nchi chache sana zina makabila zaidi ya moja na hapo utakuta ndani kuna majimbo yenye mipaka ya kikabila Mfano Switzerland yenye canton za wajerumani,Wafaransa na Waingereza.Hata Yugoslavia na Czechoslovakia ziliposambaratika nchi zilizozaliwa ilikuwa za kikabila zaidi.Tatizo Africa kabla ya ukoloni himaya zilikuwa kiasi kikubwa zipo kikabila lakini mipaka ikawekwa na wakoloni bila kuzingatia ethnicities.Tulipopata uhuru iliagizwa Kila nchi iheshimu mipaka iliyoachwa na Wakoloni.Hiki tunachokitetea sio asili yetu bali ni legacy za ukoloni.Kama dunia iliruhusu Yugoslavia kugawanyika na kuzaa nchi nyingi why not Africa?.
 
Wahutu waliwaua watusi na sio watusi waliwaua wahutu, unakijua unachoandika kweli?
Sio kweli.kuna Genocide mbili.Ya kwanza against Tusis ambapo interahamwe walitekeleza ila ya pili ambayo ilikuwa ndani ya Rwanda na Kwenye makambi ya wakimbizi Wahutu Kongo mashariki dhidi ya Wahutu iliyotekelezwa na RPF.Walivamia hadi Kongo wakidai kuwatafuta FDLR lakini walichofanya ni kuwachinja wahutu.Mpaka leo Kagame anaendelea kuwachinja kwa visingizio mbalimbali.
 
Vita iko ukingoni. Dalili zinaonesha TPLf imeshindwa vita. Wapiganaji wengi wanasalimu amri kwa Sasa. Aidha njia ya kuretreat hakuna wapiganaji wengi wamejikuta wazingirwa.

Pia makamanda wanaona ni Bora kusalimu amri kuliko kumpeleka vita Tigray. Wanaogopanmakabila mengine yataharibu na kuua watu wao vita ikipiganwa Tigray hasa katika mji Mekele.

Baadhi ya picha za wapiganaji waliojisalimisha
IMG_20211205_122206.jpg
IMG_20211205_122218.jpg
IMG_20211204_214013.jpg
IMG_20211204_213852.jpg

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Unaita wengine makafiri kwa imani ya kusimuliwa. Hujawahi kufa ukaona kuna akhera. Hujawahi kuwa na ushahidi wowote wa kuthibitika kuwa ulivyofundishwa ni kweli, yet unawaita wengine makafiri, unawachukia. Jiangalie tena ndugu kama unachofanya ni sawa.

Fikiria tena na tena bila mihemko, una uhakika wa asilimia 100 kuwa unachoamini ni sahihi? Je umewahi kuwa na uthibitisho wako binafsi, sio wa kuhadithiwa au kufundishwa kwamba unachoamini ni sawa asilimia mia moja? Je ukifa leo (Mungu akupe maisha marefu) ukakuta yote uliyoamini sio sahihi, utafanya nini?

Ni changamoto yangu kwako, kabla hujawaita wengine makafiri, basi uwe na uhakika moyoni mwako kuwa unachoamini ni sawa asilimia 100. Vinginevyo ukiwa hauko sawa utajibu mbele ya Mungu kuwaita viumbe wake makafiri!

Turudi kwenye uzi wa ENDF na TPLF/TDF
Hadi akaita hivo ana uhakika 100%
 
Vita iko ukingoni. Dalili zinaonesha TPLf imeshindwa vita. Wapiganaji wengi wanasalimu amri kwa Sasa. Aidha njia ya kuretreat hakuna wapiganaji wengi wamejikuta wazingirwa.

Pia makamanda wanaona ni Bora kusalimu amri kuliko kumpeleka vita Tigray. Wanaogopanmakabila mengine yataharibu na kuua watu wao vita ikipiganwa Tigray hasa katika mji Mekele.

Baadhi ya picha za wapiganaji waliojisalimishaView attachment 2033604View attachment 2033605View attachment 2033606View attachment 2033607

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Weka basi chanzo, hata kama ni wewe unaripoti toka uwanja wa vita ;)
 
Kwa sensa ya mwaka 1994,palikua na watusi laki 8 tu rwanda,waliouwawa tunaambiwa ni watu milioni moja,wengi watusi na wachache wahutu wenye msimamo wa wastani,Kama waliouwawa wengi ni watusi,Hawa watusi wa Leo rwanda wametoka wapi?..hao waliouwawa ni kabila gani!?
Demographical data zinakataa kabisa hiyo hesabu ya watusi laki nane kuuliwa.
 
Hiyo yenye nyota ya Daudi ya blue ndiyo Bendera ya Taifa hii ina lbebwa na Jeshi la taifa. Huyu mdada kwenye picha amejitwalia umaarufu sana kwenye Jeshi la taifa. Amekua frontline KIKAMILIFU. Vijana wengi wa Ethiopia wanatumia picha yake kujenga morali kwa mabinti kwenda vitaniView attachment 2033145View attachment 2033146

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Safi,wanawake wa kitanzania wajifunze hapa,hii ndiyo ile asilimia 50 inayotakiwa, sio viti maalumu.
 
Vita iko ukingoni. Dalili zinaonesha TPLf imeshindwa vita. Wapiganaji wengi wanasalimu amri kwa Sasa. Aidha njia ya kuretreat hakuna wapiganaji wengi wamejikuta wazingirwa.

Pia makamanda wanaona ni Bora kusalimu amri kuliko kumpeleka vita Tigray. Wanaogopanmakabila mengine yataharibu na kuua watu wao vita ikipiganwa Tigray hasa katika mji Mekele.

Baadhi ya picha za wapiganaji waliojisalimishaView attachment 2033604View attachment 2033605View attachment 2033606View attachment 2033607

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Mwenyekiti wa TPLF amesema kuwa,kuna sababu nyingi zilizosababisha wao kupoteza maeneo mengi.sababu izo ni -

(1)makamanda wengi wamehasi jeshi lao kwa iyo imepelekea vikosi vyao vingi kugawanyika
(2)Baada ya Abby kuja front,alikuja akiwa na wapiganaji kutoka nnje na silaha nzito

(3)kuingilia kati kwa mataifa ya nnje kwa kumsaidia bwana Abby kumpa ndege vita
(4) wapiganaji wetu wametelekeza silaha zetu nyingi kubwa kubwa kwa ofu ya mashambulizi makali kutoka kwa Abby
 
Wekeni Source bandugu. Hii ni kanuni ya uandishi kama unachukua second hand information lazima uoneshe chanzo cha taarifa yako.

Hii inaongeza credibility ya taarifa pia kutoa rejea kwa anayetaka.

Hata kama wewe ni body guard wa Abiy!
 
Kuhusu Bendera. Ethiopia kila Jimbo/kabila lina Bendera yake. Pia Kuna Bendera ya Taifa. Bendera zote za majimbo na Taifa zina rangi kuu tatu. Nyekundu, njano na kijani. Ila kunayongeza ya rangi kwa baadhi ya Bendera hasa blue ama nyeusi.

Hii ni Bendera ya wa Amhara. Maana yake Hilo jeshi ni la Jimbo la Amhara.

Ntawaletea Bendera zaidi
View attachment 2033141

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Kuongoza taifa la Ethiopia kazi Sana, vikundi vya kijeshi vingi mno na kuvidhibiti kazi mno!
 
Mwenyekiti wa TPLF amesema kuwa,kuna sababu nyingi zilizosababisha wao kupoteza maeneo mengi.sababu izo ni -

(1)makamanda wengi wamehasi jeshi lao kwa iyo imepelekea vikosi vyao vingi kugawanyika
(2)Baada ya Abby kuja front,alikuja akiwa na wapiganaji kutoka nnje na silaha nzito

(3)kuingilia kati kwa mataifa ya nnje kwa kumsaidia bwana Abby kumpa ndege vita
(4) wapiganaji wetu wametelekeza silaha zetu nyingi kubwa kubwa kwa ofu ya mashambulizi makali kutoka kwa Abby
Nyie mlikatazwa kuwaambia wanaume wenu wawape ndege na silaha nzito?

Visingizio vya kichapo 😄😄
 
Mwenyekiti wa TPLF amesema kuwa,kuna sababu nyingi zilizosababisha wao kupoteza maeneo mengi.sababu izo ni -

(1)makamanda wengi wamehasi jeshi lao kwa iyo imepelekea vikosi vyao vingi kugawanyika
(2)Baada ya Abby kuja front,alikuja akiwa na wapiganaji kutoka nnje na silaha nzito

(3)kuingilia kati kwa mataifa ya nnje kwa kumsaidia bwana Abby kumpa ndege vita
(4) wapiganaji wetu wametelekeza silaha zetu nyingi kubwa kubwa kwa ofu ya mashambulizi makali kutoka kwa Abby
The end justifies the means.
Ushindi ni ushindi tu. Mbona Marekani akitaka kupigana vita kwanza nakuwekea vikwazo, pili anakufungia anga lako ndege zisiruke, tatu anatafuta collabo la washirika wake, halafu mwisho inasemekana kashinda vita.
 
Back
Top Bottom