Ethiopia to launch East Africa's first satellite to space!

Ethiopia to launch East Africa's first satellite to space!

Hizo za Nigeria na Algeria wamenunua mitumba kutoka kwa wengine. Sidhani kama waliziunda na kuzilaunch wenyewe!

..Thank u.

..kuna mjadala mkali kuhusu faida na hasara ya nchi kuwa na Space Program.

..ukisikiliza kila upande utaona wana hoja fulani, kwa hiyo mimi hapo nilikuwa najaribu kuonyesha faida ambazo Ethiopia wanaweza kuzipata kutokana na mpango wao wa kurusha Satellite.

..Waethiopia wana moyo wa kujiamini, na hilo ni jambo muhimu sana ktk ujenzi wa taifa lolote lile.
 
Ethiopians wana damu za Kiyahudi,what a coincidence! Hawana akili za Kiafrika za kufikiria kufanya ufisadi tu,Wana akili za kimaendeleo.
 
huko juu kutajaa vipi?? unapavutia picha ka vile ni padogo, unasahau kua hamna kitu huko juu zaidi ya hizo satellites, tukisema tuzisushe zote zikae hapa chini dunia nzima tutazijaza zote mlimani city, sasa piga hesabu huko juu ambako hamna majengo wala watu ni hizo satellites peke yake, kuzijaza sio leo. Dunia kubwa sana hata kila nchi ikiwa nazo mia
Mkuu kwenye physics kuna distance flani from earth ambazo hizo satellites zinafaa kuoperate sio kuzirusha kokote tu. Sasa hebu fikiria kuna nchi ngapi tayari zimeshaweka satellites zao kibao kwenye hiyo zone? Halafu uongeze na nchi 54 za Afrika kila mtu ana satellite zake kama hamsini hivi........
Mimi nasuggest tuungane kama Afrika, kwanza itapunguza mzigo on individual countries
Halafu tuunde kitu kama satellite positioning system kama GPS ya marekani au GALILEO ya EU au GLONASS ya urusi.....zinasaidia sana zile!
 
Hongera Ethiopia, sisi bado tuna mission ya kumtoa mkoloni mweusi
 
Mkuu kwenye physics kuna distance flani from earth ambazo hizo satellites zinafaa kuoperate sio kuzirusha kokote tu. Sasa hebu fikiria kuna nchi ngapi tayari zimeshaweka satellites zao kibao kwenye hiyo zone? Halafu uongeze na nchi 54 za Afrika kila mtu ana satellite zake kama hamsini hivi........
Mimi nasuggest tuungane kama Afrika, kwanza itapunguza mzigo on individual countries
Halafu tuunde kitu kama satellite positioning system kama GPS ya marekani au GALILEO ya EU au GLONASS ya urusi.....zinasaidia sana zile!

Mkuu distance from earth sio shida, na distance pia zina vary sio zote zinawekwa distance moja, ni kulingana na satellite yenyewe na kama inaenda kua stationery itawekwa geostationary orbit ~32,000km, kama sio inakaa chini, ni calculations tu wanafanya, hata kama distance ingekua moja, circumference ya earth unajua ni 40,000km+ huwezi niambia eneo lote hilo utajaza satellite, hadi sasa hivi zipo less than 2000, tunaweza ongeza hata 10,000 na bado tukawa sawa tu. Tatizo labda collisions na satellites kuanguka, ila kujaa hatujazi kirahisi.
 
Back
Top Bottom