Ethiopia to issue IDs for Rastafarian community

wapo wasiojitambua ndio wana mregard Haille Sellasie kama Mungu ila waliowengi wanaamni kuwa Haille sellasie ni mmoja wa vitukuu vya mfalme Sulleiman na David na hao ndio decendant ya Jesus,kwa hiyo kuna uwezekano pia hata jesus alikuwa blackma,sasa kwa nini wazungu wanatuambia Jesus a white man,they must have corrupted the History,thats why we call them Babylon,we should fire them
pia huwa awamuamini kabisa papa,kwakuwa ndio aliwaruhusu akina Benito Mussolin wa Italy kuja kuivamia Ethiopia,the holy land
 
sana mkuu mi huwa nawakubali sana,ndio watu pekee wanaomuunga mkono na kumsappot mtu mweusi
 

Sikujua kama Haille Sellasie ana vinasaba vya Mfalme Suleiman na Daudi aiseee kweli Elimu haina mwisho nitamsoma zaidi..

About Jesus kua ni mweusi nilishasikia sana tu, hata kiuhalisia Jesus sio Mzungu kwa sababu Muyahudi sio Mzungu na sote tunajua Jerusalem imepakana vipi, ni suala la mtu tu kujiongeza.

Papa ndio Makatoliki na wakatoliki hawataki ukweli ujulikane ndio maana Papa aliruhusu Mussolin aivamie Ethiopia yetu jamaniiiii.

Go to Hell Babylons.[emoji34][emoji34][emoji35] [emoji35]
 
basi huo ndio ukweli,ma rasta tunawaonaga kama hamnazo,ila ni watu wenye fact fikilishi sana
wanakipengere fulani hivi kinaeleza mambo makubwa ambayo mtu mweusi ameyafanya ila wazungu wanayaficha,aisee its amazing ukisoma
 
basi huo ndio ukweli,ma rasta tunawaonaga kama hamnazo,ila ni watu wenye fact fikilishi sana
wanakipengere fulani hivi kinaeleza mambo makubwa ambayo mtu mweusi ameyafanya ila wazungu wanayaficha,aisee its amazing ukisoma
indeed.... wanajua mengi ndio maana hata wazungu hawawagusi wanajua watapewa ukweli wao tu. lol
 
indeed.... wanajua mengi ndio maana hata wazungu hawawagusi wanajua watapewa ukweli wao tu. lol
nawakubali sana hawa jamaa,kuna rsta mmoja anajiita Mtabaruka hata youtube yupo,alikataa jina lake la kizungu akaamua kujiita jina hilo la kihaya sijui kiganda,jamaa ni wazalendo kweli kweli,na huwa wanawapa shit sana akina 50cents nk wanaojifanya ni wazungu,huwa wanawaambia kuwa wharever you go Afrika is your real home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…