Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Africa Unite.....Sawa basi, lakini kumbuka hawa watu wanaipenda sana Africa na wanawapenda waafrica, pia wangependa Africa yote iungane na iwe inajitegemea na iwe inaendelea kama Ulaya na America. Lakini wewe kama ulivyoamua pia ni vizuri, kwa sababu siku zote ni vizuri kufanya what is best for you.
Jah Bless you and yours.
SELASSIE IJah Rasta Farai
Africa Unite.....
Tungekua na mioyo kama hawa Rastafarians hakika Africa ingepiga hatua sana.... shida utumwa wa fikra umetuharibu, hatupendani, hatuthaminiani, majungu, fitina... mmoja akipata anataka kiwe chake pekee yake badala ya kugawana.... hatujui kubebana wala kuvutana.... kiufupi waliposema wamegundua bara giza wala hawakukosea.
haya maneno siku zota yataishi kwangu.
Emancipate yourself from mental slavery
None but ourselves can free our minds.
I wish one day all Africans tungekua Free Minded.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Rastaman don't give up nimeamini now
Nadhani afande sele asubuhi hii ataamkia ubalozi wa EthiopiaRastaman never ever give up,
No matter where
Rasta don't care
As long as he is there
He will get his share
And Jah will be there
Untill that day when we will no fear for atomic energy coz none of them (whites) can stop the time,Uko sahihi sana hapo. Mpaka tunapokuwa tunaheshimiana, tunasaidiana, tunapendana, tunaaminiana, siku zote tunakuwa wa mwisho. Wazungu wameungana (EU), wahindi, wachina na waarabu wanasadiana sana. Sisi tunapigana na kutukanana tu.
Hopeful one day we will sing songs of freedom, redemption songs, when we are our minds are free at last to see how the world really works and understand that we need be more united.
Hopeful one day soon we will woke up, wise up and rise up.
Yule sio anaigiza tu.... hajakwiva katika imani yetu ya rasta. lolNadhani afande sele asubuhi hii ataamkia ubalozi wa Ethiopia
Kwani kuna rank huwa zinatolewa za kiimani kama free mason wanavyotoa?Yule sio anaigiza tu.... hajakwiva katika imani yetu ya rasta. lol
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Katika kila jambo Rank lazima iwepo... huwezi kusema ww ni muikristo wakati hufati maamrisho ya uikristo.... you feel me???Kwani kuna rank huwa zinatolewa za kiimani kama free mason wanavyotoa?
Sio wote wanaimani hiyo rafiki,Rastafari kuna sects nyingi,kuna boboshanti,nyabingi na wengineo,mimi naikubali sana rastafarian life style,kuwa na amani na upendo kwa wote,kuthamini uafrika wangu,kutomdhuru yoyote,kusaidia wenye shida lakini siamini kuwa haile selassie ni mungu,ila naamini alikuwa mwanaharakati na mpigania haki za wa afrika kama marcus garvey,malcolm x na wengineo.Nawaelewa sana hawa ila wanazingua kwa kuona kama Haile Selassie ndio kila kitu kwao.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
katika uliyoyachukua kwao ninaimani ile holy sacrament yetu(kaya/herb)nayo umei adopt.Nimekaa nao sana nawaelewa in and out.... my bro in law ni Rasta pia ila kwa imani yy rasta hafugi.... kuna vitu nimechukua kwao (ndio maana hata jina ni culture gal) ila vingine nimeacha.... lengo lao ni jema kua wanaendeleza ile asili thabiti ya muafrica ila wanapinga dini hizi mbili uislam (waarabu) uikristo (wazungu).... sasa kitendo cha kumuona Haile Selassie ndio Mungu wao hapo tu ndio waliponichosha.... hua nakaa nao sana tunapiga story wakianza mambo za kupinga dini nawakimbia lol.
Thanks bro kwa muda wako umenielewesha vema sana.
Peace and Love Man.[emoji111]
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Sawa sawa Rastafarian mwenzangu.... Je una dread au bado??? me ndio naanza kuweka kisha nifly to Ethiopia nikachukue Id yangu.... lol.Sio wote wanaimani hiyo rafiki,Rastafari kuna sects nyingi,kuna boboshanti,nyabingi na wengineo,mimi naikubali sana rastafarian life style,kuwa na amani na upendo kwa wote,kuthamini uafrika wangu,kutomdhuru yoyote,kusaidia wenye shida lakini siamini kuwa haile selassie ni mungu,ila naamini alikuwa mwanaharakati na mpigania haki za wa afrika kama marcus garvey,malcolm x na wengineo.
Lol..... Hiyo hapana aiseee mama kasema nikiweka tu naokota makopo.... lolkatika uliyoyachukua kwao ninaimani ile holy sacrament yetu(kaya/herb)nayo umei adopt.
dread hapana aisee ingawa nazipenda,labda nifuge za ndevu,mama yangu ana dreadlocks ingawa ni sala tano na hana imani za kirasta,mi ntaendelea kuenzi falsafa za rastafari katika maisha ya kawaida pamoja na sacramentiSawa sawa Rastafarian mwenzangu.... Je una dread au bado??? me ndio naanza kuweka kisha nifly to Ethiopia nikachukue Id yangu.... lol.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Inategemea mama alilisemeaje kama alikwambia hivyo kwa kukuapiza sawa,ila kama alisema tu kama angalizo basi sio kesi,unaweza kutumia tu kistaarabu na usipate tatizo lolote,mie mwaka wa tano huu natumia na naendelea nashuhuli za ujenzi wa taifa bila mushkel,tatizo wewe uliruka step,unaanzaje kuilima kabla hata hujaitumia.kaya hainaga shida,shida huwa ipo kwa watumiaji.Lol..... Hiyo hapana aiseee mama kasema nikiweka tu naokota makopo.... lol
kuna siku niliipanda ikastawi vizuri alivyoiona ndio akanambia hivyo...
Hapo nakua tofauti nao sasa.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Dread za Ndevu, umenikumbusha yule mwenyekiti wao kwa Tanzania Hayati Ras Bupe alikua na dread hadi za ndevu.... halafu kwa Tz Nyerere aliwapa land Kigoma Kasulu.... Wanataka kufanya kitu....dread hapana aisee ingawa nazipenda,labda nifuge za ndevu,mama yangu ana dreadlocks ingawa ni sala tano na hana imani za kirasta,mi ntaendelea kuenzi falsafa za rastafari katika maisha ya kawaida pamoja na sacramenti
Hahahaha bro unanishawishi ujue me staki bhana.... nakaa maskani na washkaji wanaipiga ila sijawahi kupata mzuka wa kuipiga japo pafu moja na bi mkubwa alivyoikazia ndio kabisaaa.....Inategemea mama alilisemeaje kama alikwambia hivyo kwa kukuapiza sawa,ila kama alisema tu kama angalizo basi sio kesi,unaweza kutumia tu kistaarabu na usipate tatizo lolote,mie mwaka wa tano huu natumia na naendelea nashuhuli za ujenzi wa taifa bila mushkel,tatizo wewe uliruka step,unaanzaje kuilima kabla hata hujaitumia.kaya hainaga shida,shida huwa ipo kwa watumiaji.
True dat,mimi ni mwislamu lakini kuna mengi nimejifunza kutoka katika dini na imani nyenginezo ambayo nayatumia katika maisha na yananisaidia,kwenye rastafari nmechukua idea ya upendo ma amani kwa wote pamoja na aina ya ulaji,kwenye budhism nimejifunza meditation,inner piece,yoga na mengineyo yahusuyo spirituality,na detachment,kwenye catholicism nmejifunza orginization.etcDread za Ndevu, umenikumbusha yule mwenyekiti wao kwa Tanzania Hayati Ras Bupe alikua na dread hadi za ndevu.... halafu kwa Tz Nyerere aliwapa land Kigoma Kasulu.... Wanataka kufanya kitu....
Wanaishi maisha mazuri sana, hawabaguani, wanasaidiana, wanapendana kiufupi ukifuata mfumo wao wa maisha..... pepo ileeeee. lol
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Wow!!! ni watu wachache sana wapo kama wewe..... nitaanza kujifunza na mimi, tho najua kidogo kuhusu imani zingine apart na yangu ya muslim.True dat,mimi ni mwislamu lakini kuna mengi nimejifunza kutoka katika dini na imani nyenginezo ambayo nayatumia katika maisha na yananisaidia,kwenye rastafari nmechukua idea ya upendo ma amani kwa wote pamoja na aina ya ulaji,kwenye budhism nimejifunza meditation,inner piece,yoga na mengineyo yahusuyo spirituality,na detachment,kwenye catholicism nmejifunza orginization.etc