Ethiopia hiyoooo

umeme wenyewe wakuunga unga train za umeme za nini.?
 
Kwa sasa wanazalisha 10000MW umeme, wakati sisi rais anazungumzia 150MW.Rwanda Angola Ethiopia Mozambique zinapiga hatua wakati tanzania uchumi ni wa makaratasi.Wana shirika kubwa duniani kwa ndege Ethiopian airlines wakati tanzania tuna moja
 
mkuu kwani bado lipo lina ndege ngapi??
 
Kwa sasa wanazalisha 10000MW umeme, wakati sisi rais anazungumzia 150MW.Rwanda Angola Ethiopia Mozambique zinapiga hatua wakati tanzania uchumi ni wa makaratasi.Wana shirika kubwa duniani kwa ndege Ethiopian airlines wakati tanzania tuna moja

Na wanazalisha wakimbizi kila kukicha hawana tofauti na Eritrea
 
Tungezichukua zile pesa za uswisi tungejenga kama hizi zaidi ya sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…