Hata wanaoabudu sanamu wanaimani kama yakoYesu ndio kamwokoa na naamini hivyo.Hutaki unaacha wala hulazimishwi kuamini.
Kwangu mimi Yesu ana uwezo Mkubwa sana wa Kutenda Miujiza maana yupo popote muda wote.
Hata wanaoabudu sanamu wanaimani kama yako
Kwaiyo yesu alikuwepo kwenye ilo tukio akamuokoa nasio Simba?.mungu ndokamnusuru uyo mtoto yesu ninabii tu wa m/mungu na sasa hayupo ila mungu yupo kila sehemu tuendayo
Kweli rafiki yangu wengine wanamuamini yule jamaa aliyeigiza kama yesu kwenye ile move ndiye yesu wanaweka picha zake bajumbani wanamvaa shingoni wanaweka sanamu lake kwenye nyumba zao za ibada wakati jamaa mlevi tu na mzinifu ukifatilia historia yake uko marekaniWengine wanaamini watapewa Mabikira 72 wakifika mbinguni ili wazini nao.
Yaani dunia ina maajabu sana.
Inanikumbusha hadithi ya Androcles and the Lion (Androcles na Simba), Rumi ya kale. Androcles mtumwa aliyetoroka akajificha katika pango mchana kuwakwepa wawindaji wake. Kumbe ndani ya pango alikuwepo simba dume amelala kama mgonjwa hivi. Androcles aliogopa sana. Simba alikuwa ameumia mguu na kuwa na uvimbe mkubwa huku machozi yakimlenga kwa maumivu. Androcles akagundua kuwa simba yule alikuwa akitaka msaada. Akamsogelea na kwa tahadhari kubwa akamgusa ule mguu na kuuchunguza na kugundua alikuwa amechomwa mwiba mkubwa sana. Androcles akautoa ule mwiba na kuukamua polepole usaha wote hadi ulipokwisha kabisa. Akaikufunga kidonda baada ya kukisafisha kwa maji. Baadaye alitoka na kuendelea na mbio zake. Huko mbele akakamatwa na kurudishwa Rumi.Kule jijini Rumi akapelekwa katika uwanja wa michezo na wahalifu wengine.Ilikuw kawaida ya DOla la Rumi kuwahukumu wahalifu kukabiliana na simba katika uwanja mkubwa pale Rumi. Androcles na wafungwa wenziwe wakawekwa katikati ya uwanja na kisha simba wakaachiliwa kuwaelekea wakawatafune. Mara simba mmoja akakiimbia kasi kuelekea kwa Androcles huku akipunga mkia wake. Alipomfikia akalala chini na kuanza kucheza naye huku akimrukia rukia. Simba wengine hawakumfuata Androcles maana simba yule alingaka. Uwanja wote ukalipuka kwa makofi, makelele na shangwe kwa Androcles na kudaia apewe uhuru wake anaoustahili. Kuona hivyo utawala wa Rumi ulimweka huru Androcles na simba wake na wakaachwa waende zao.2017-2005=12 years, tunashukuru kwa somo lako la historia.
Mbona hajaandika hiki ulichokisema!simba ndio waliomuokoa kwa idhini ya mungu muumba sio Yesu hapa ni Allah (s.a.w) ndio muokoziHuyu Binti anamtumaini YESU kama Bwana na Mwokozi wake hivyo kaamua kumlinda.
na hatufiii,sasa.wakafie huko
MUNGU ANAPOTAKA KUKUSAIDIA, ATAKULETEA MSAADA AMBAO HAUKUUTARAJIA KABISA
hili tukio lilitokea June 2005, huko ETHIOPIA lakini nimeshangazwa kuwa very popular hivi karibuni.
"Binti wa miaka 12,alietekwa na kupigwa na wanaume saba ambao walikuwa katika jaribio la kumlazimisha kuolewa na mmoja kati yao, alikutwa akilindwa na simba watatu ambao walimuokoa huyu binti kwa watimua mbio wale wanaume watekaji kwa muda wa masaa 12" Polisi walisema.
Polisi waliongeza kwa kusema,"Simba walisimama na kamlinda binti hadi tulipompata, na baada ya hapo walimuacha bila kumdhuru na kutokomea msituni, kama hao simba wasingekuja kumuokoa, ingekuwa hatari zaidi, kwa maana mara nyingi hawa mabinti wadogo wamekuwa wakibakwa na kupigwa vibaya kwa lengo la kulazimishwa kuolewa"
NI AJABU NA KWELI..!
View attachment 455057
Ethiopian girl reportedly guarded by lions