et hii ni ishara ya nini?

Sasa ulipokuwa unamuacha ulitaka abaki single? mbona waajabu hivyo umemuacha ameshapata mwingine sasa wewe pilipili ya shamba yakuwashia nini?
 
Jamani siyo vizuri kutoa ushauri wa mahusiano ya kimapenzi kwa watoto.
 
Naona sasa unataka na ushauri wa kutaka kujua ni nini msichana anataka!
 
Jamani siyo vizuri kutoa ushauri wa mahusiano ya kimapenzi kwa watoto.

Hata mimi naona, unajua hata uandishi wa mtu unakujulisha kuwa bado ni mdogo kiumri...
 


Dah na wasiwasi na upstair kwako mkuu!
 
Hata sio bwana ake, ile picha ya mjomba ake. Usiogope.
 
Jua wakati upo na mpenzi wako naye ana list ya watu wanaomfukuzia, so ukimwaga tu anahamia kwingine fasta. Tena huyo kidume ndiye alikuwa anakumegea kisela huyo demu wako
 
Yaani wewe ulitaka umuache halafu asiwe na mtu wakati wewe unaye wa kwako. Eti anakuumiza roho hivi Inakiwaje uachane na mtu uendelee kumfuata fuata??? Bure kabisa
 

Unaumia nini sasa wakatim wewe ndiye uliyemwacha? au unadanganya? Hapa sanasana ulitakiwa ufurahi na kumpa hongera kwa kupata mwenzi mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…