et hii ni ishara ya nini?

et hii ni ishara ya nini?

Sasa ulipokuwa unamuacha ulitaka abaki single? mbona waajabu hivyo umemuacha ameshapata mwingine sasa wewe pilipili ya shamba yakuwashia nini?
 
Jamani siyo vizuri kutoa ushauri wa mahusiano ya kimapenzi kwa watoto.
 
Naona sasa unataka na ushauri wa kutaka kujua ni nini msichana anataka!
 
Jamani siyo vizuri kutoa ushauri wa mahusiano ya kimapenzi kwa watoto.

Hata mimi naona, unajua hata uandishi wa mtu unakujulisha kuwa bado ni mdogo kiumri...
 
nilikuwa na mpenzi wang ...kiukweli nili mchoka baada kuwa na mpnz wang mpya..mana kila nilipo taka kufanya nae mapenzi alikuwa anakuja..namfulisha..namkalipia..yani in short nilikuwa namuendesha navo taka mm..mara ya kwanza nili break up nae then tuka rudiana mara ya pili juzi apa nika muambia niache ..akanijb poa...siku ya pili yake..kwenye whatsap dp yake aka weka picha ya mwanaume na aka andika kuwa ndo mpnz wake.Je nikweli ata kuwa bwana ake au nikutaka kuniumiza roho

Dah na wasiwasi na upstair kwako mkuu!
 
Hata sio bwana ake, ile picha ya mjomba ake. Usiogope.
 
Jua wakati upo na mpenzi wako naye ana list ya watu wanaomfukuzia, so ukimwaga tu anahamia kwingine fasta. Tena huyo kidume ndiye alikuwa anakumegea kisela huyo demu wako
 
Yaani wewe ulitaka umuache halafu asiwe na mtu wakati wewe unaye wa kwako. Eti anakuumiza roho hivi Inakiwaje uachane na mtu uendelee kumfuata fuata??? Bure kabisa
 
nilikuwa na mpenzi wang ...kiukweli nili mchoka baada kuwa na mpnz wang mpya..mana kila nilipo taka kufanya nae mapenzi alikuwa anakuja..namfulisha..namkalipia..yani in short nilikuwa namuendesha navo taka mm..mara ya kwanza nili break up nae then tuka rudiana mara ya pili juzi apa nika muambia niache ..akanijb poa...siku ya pili yake..kwenye whatsap dp yake aka weka picha ya mwanaume na aka andika kuwa ndo mpnz wake.Je nikweli ata kuwa bwana ake au nikutaka kuniumiza roho

Unaumia nini sasa wakatim wewe ndiye uliyemwacha? au unadanganya? Hapa sanasana ulitakiwa ufurahi na kumpa hongera kwa kupata mwenzi mpya!
 
Back
Top Bottom