kwan we msichana @exel
nilikuwa na mpenzi wang ...kiukweli nili mchoka baada kuwa na mpnz wang mpya..mana kila nilipo taka kufanya nae mapenzi alikuwa anakuja..namfulisha..namkalipia..yani in short nilikuwa namuendesha navo taka mm..mara ya kwanza nili break up nae then tuka rudiana mara ya pili juzi apa nika muambia niache ..akanijb poa...siku ya pili yake..kwenye whatsap dp yake aka weka picha ya mwanaume na aka andika kuwa ndo mpnz wake.Je nikweli ata kuwa bwana ake au nikutaka kuniumiza roho
Ok nimewaelewa lakini kama kuna ambaye alishakuwa na case kama hii anipe uzoefu wake. Na je naomba kujua kama kuna yeyote ambaye alishawahi kulalamikiwa na gal wake kwamba uume wake mdogo na je alichukua hatua gani na hatimaye gal wake akaridhika?
lol umeliona hilo watu8,alafu saiv shule zmeshafungwa kwa ajil ya pasaka eh?Subiri ukue kwanza maana hata kujieleza ni kama unatetemeka maungo hata kuandika unashindwa...
nilikuwa na mpenzi wang ...kiukweli nili mchoka baada kuwa na mpnz wang mpya..mana kila nilipo taka kufanya nae mapenzi alikuwa anakuja..namfulisha..namkalipia..yani in short nilikuwa namuendesha navo taka mm..mara ya kwanza nili break up nae then tuka rudiana mara ya pili juzi apa nika muambia niache ..akanijb poa...siku ya pili yake..kwenye whatsap dp yake aka weka picha ya mwanaume na aka andika kuwa ndo mpnz wake.Je nikweli ata kuwa bwana ake au nikutaka kuniumiza roho
haya wewe mkubwa embu yanyooshe bac