Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Otieno???
Nimeingia Saloon moja ya kiume hapa mjini Musoma na kukuta mabishano makali ambayo hata hivyo hayakupata muafaka.Mabishano hayo yanamhusu Mbunge wa viti Maalum wa Chadema Mhe Esther Matiko kuhusu kabila lake na uhalali wa yeye kupata Ubunge wa viti maalum kupitia Mkoa wa Mara.
Wapo waliosema na kushikilia msimamo wao kuwa Mbunge huyo ni Mkurya kutoka wilayani Tarime huku wengine wakisema kuwa ni Mchaga ambaye kaolewa na Mtu wa Tarime.Tunaomba wanaomjua vizuri Esther Matiko watupe ukweli wa jambo hili.
Huyo Esther no mkurya name Ana kaka zake hapo Tarime wana biashara ya magali wanaitwa nyamseti Ana vidalala vya kwenda Musoma kutoka TarimeNimeingia Saloon moja ya kiume hapa mjini Musoma na kukuta mabishano makali ambayo hata hivyo hayakupata muafaka.Mabishano hayo yanamhusu Mbunge wa viti Maalum wa Chadema Mhe Esther Matiko kuhusu kabila lake na uhalali wa yeye kupata Ubunge wa viti maalum kupitia Mkoa wa Mara.
Wapo waliosema na kushikilia msimamo wao kuwa Mbunge huyo ni Mkurya kutoka wilayani Tarime huku wengine wakisema kuwa ni Mchaga ambaye kaolewa na Mtu wa Tarime.Tunaomba wanaomjua vizuri Esther Matiko watupe ukweli wa jambo hili.
Unataka mkamkekete? Mmechelewa, poleni sana.
Dah! Bangi na jua hili..