Esther Luxury Coach Mnachokifanya sio kizuri

Walete mabasi yenye vyoo ndani kama walivyofanya Scandinavia enzi zile
Kutoka Arusha kwenda DAR alafu basi linasimama KOROGWE tu , ni hatari kwa baadhi wa abiria. Kuna wenye magonjwa kama kisukari ambao wanahitaji kwenda kukojoa mara kwa mara. Pia kuna dharura za njiani! Laakini kwa binadamu amabye mwili wake unafanyakzi vizuri safari hii ni ndefu sana kwa kumlazimisha abiria ajisaidie mara moja tu! Pia ni wakati muafaka kwa serikali uweka huduma za vyuo barabarani bdala ya kusubiri mabasi yatumie vyoo vya watu binafsi pale wanaposimama kwa ajili ya chakula. Mfano, ukitoak Moshi hadi Mombo ndiyo unapata huduma ya choo, zaidi ya hapo ni pale MZANI wa Msata. Wizara ya Afya, Wizara ya Mazingira na Wizara ya Uchukuzi zinawajibu wa kuliangalia suala hili.
 
Juzi nmepanda kwenda rombo basi nineambiwa lina chaging system but kupanda tuu hamnahata switch moja inayifanya kazi.
Magari mengi yana utapeli huo!!!
Utakuta gari imeandikwa lina Wi-Fi na charging system but ukiingia humo ndani unakuta Port zote za kuchajia zimekufa pia hiyo wi-Fi haipatikani mwanzo-mwisho wa safari so unahisi 28K zako hazijatendewa haki but utafanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom