Esther Bulaya VS Esther Wassira

Esther Bulaya VS Esther Wassira

Nani utampa kura yako ubunge Bunda kati ya Steven Wasira (CCM) na Esther Wasira (Chadema) ?

  • Total voters
    112
Status
Not open for further replies.

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,605
Reaction score
551
*Esther Bulaya ni mbunge wa kike, kijana kwa tiketi ya CCM viti maalum, watu wengi wamepata kumzungumzia uwezo wake wa kisiasa humu JF mara kadhaa. Ameonekana Bungeni na mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa akijenga hoja.

*Esther Wassira alionekana kwa mara ya kwanza kwenye ulingo wa kisiasa siku akichukua kadi ya CHADEMA, watu wengi walitaka kumfahamu uwezo wake wa kisiasa(kujenga hoja na kuamsha ushawishi), na kupitia hotuba aliyoitoa kwenye kongamano la kumbukumbu ya mwalimu Nyerere pale Nkurumah kila mtu sasa anaweza kumzungumzia.

*Sababu za kutaka kuwalinganisha kisiasa.
1/Mfanano wao (Wote ni wanasiasa, vijana, wanawake, wanatoka Bunda, wameshawahi kuwa na mzozo wa kisiasa na Steven Wassira, wote wanaitwa Esther!!)

2/Wanatoka vyama viwili vinavyopinzana.

3/Watu wengi wanataka kuona mmoja wao akirithi kiti cha ubunge wa Steven Wassira kule Bunda 2015.

***Wadau wa JF mnaweza kuchangia kwa kujenga hoja za ulinganifu wao kisiasa.
 
Waendelee kuinoa ili Bunda ipate mbunge kati yao akina Esther.
 
*Esther Bulaya ni mbunge wa kike, kijana kwa tiketi ya CCM viti maalum, watu wengi wamepata kumzungumzia uwezo wake wa kisiasa humu JF mara kadhaa. Ameonekana Bungeni na mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa akijenga hoja.

*Esther Wassira alionekana kwa mara ya kwanza kwenye ulingo wa kisiasa siku akichukua kadi ya CHADEMA, watu wengi walitaka kumfahamu uwezo wake wa kisiasa(kujenga hoja na kuamsha ushawishi), na kupitia hotuba aliyoitoa kwenye kongamano la kumbukumbu ya mwalimu Nyerere pale Nkurumah kila mtu sasa anaweza kumzungumzia.

*Sababu za kutaka kuwalinganisha kisiasa.
1/Mfanano wao (Wote ni wanasiasa, vijana, wanawake, wanatoka Bunda, wajita? wameshawahi kuwa na mzozo wa kisiasa na Steven Wassira, wote wanaitwa Esther!!)

2/Wanatoka vyama viwili vinavyopinzana.

3/Watu wengi wanataka kuona mmoja wao akirithi kiti cha ubunge wa Steven Wassira kule Bunda 2015.

***Wadau wa JF mnaweza kuchangia kwa kujenga hoja za ulinganifu wao kisiasa.

Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
 
Sidhani kama uko sahihi. sio wajita wote mmojawapo muikizu. Na humu ndani makabila ya nn. kinachotakiwa uwezo wa mtu kuiongoza BUNDA regardless anatoka chama gani
 
Japo bulaya hawezi mfikia ester wassira kwa hoja ,tunachoangalia ni chama kama bulaya atakubali kuingia cdm basi mmoja atagombea mwibara na mwingine bunda.
 
Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
Mkuu kwenye political platform, mvuto wa sura una umuhimu sana kuwavutia watu wakufahamu au wakupende. Umesahau ya JK 2005?
 
Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
Kama ana nia ya kugombea Bunda, aanze kujisogeza huko Bunda pia awe karibu na wapiga kura. Anaweza kwenda huko hata mara moja kila baada ya miezi minne na kupiga mikutano mitatu, kwa nguvu ya CDM huko sioni cha kuzuia ushindi. Huyu Bulaya ni binti misifa tu, hamna kitu kabisa.
 
Sidhani kama uko sahihi. sio wajita wote mmojawapo muikizu. Na humu ndani makabila ya nn. kinachotakiwa uwezo wa mtu kuiongoza BUNDA regardless anatoka chama gani

Mkuu asante kwa kunifahamisha na kunirekebisha. Ngoja nirekebishe thread.
 
Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi

Kila la heri Kamanda
 
Labda mkuu Mchambuzi , atuwekee uchambuzi wao kwa hoja, naona kama ipo kishabiki, mtu badala ya hoja, kwa jana I vote for E,Wassira.
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanapaswa kumpa jukwaa zaidi esther wassira kwasabbu mwenzake ana jukwaa pale bungeni. E.wasira ana hoja nzito, yuko chama chenye nguvu na kwahyo yupo chama sahihi, zaidi pia hata ye mwenyewe ana mvuto la muhimu kwa sasa ni kuwezeshwa zaidi ili asikike na ajulikane zaidi na ikiwezekana aanze kufanya mambo madogo madogo ya kumtambulisha kwa wapiga kura
 
Kwa nilivyo msikia jana tean muda wenyewe aliopewa? Hapa tuwe wawazi, hata kama mtu huwa haipendi CDM utajikuta unaipenda tu, ukweli CDM pale wamelamba Dume, dada ni mzima, anajenga hoja, ana present hoja, hana hofu na anaweza ku-join dots, Bulaya kama ana ndoto za kugombea pamoja na huyu nafikiri atakua anapoteza muda, ataabika, asipeleke timu pale, labda something to caution, kama huyo baba yake naye ataonehs interest za kugombea jimbo moja, nina hofu suala la kifamilia hapo ninaweza kumuathiri huyu binti, atakapo anza kuporomosha madongo ninahakika Steven Wassira atakosa wasikilizaji, kamati ya nyumbani then inaweza kukaa, hebu hapa Esther pamoja na CDM walifikirie hili mapema, ninahakika huyu Binti humu jamvini lazima ni member tu, sio lazima achangie but heb afikiri hili then abadiri hata jimbo, sheria zinaruhusu then pale Bunda CDM wapepeleke mtu mwingine asie na conflict of interest!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom