Hopeless post, mkanda ni kwa ajili ya polisi? Au kwa usalama wako?Naona Kafunga Na Mkanda Wa Gari,polisi Noma Aitheee
Wapi hapo?
Moshi Arusha hiyo
Hii nchi nzuri sana. Wanaoiharibu Mungu anawaona.Daraja la ungwasi....kuelekea rombo mashati..useri TARAKEA
Rombo moshi daraja linaitwa ungwasiMoshi Arusha hiyo