CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,190
- 889
Ha Ha, Sawa Kaka Naona Ww Ni HopefullHopeless post, mkanda ni kwa ajili ya polisi? Au kwa usalama wako?
Ha Ha, Sawa Kaka Naona Ww Ni HopefullHopeless post, mkanda ni kwa ajili ya polisi? Au kwa usalama wako?
Duh kweli mahabusu si pazuri maana naona jamaa tangu aingie mahabusu hakuwahi kubadili nguo, ni hilo hilo gwanda la kidhaifu na kifisadi.
Kweli anawaona hawa chademaHii nchi nzuri sana. Wanaoiharibu Mungu anawaona.
Matiko ni wa TARIME...Moshi Arusha hiyo
Acha uongoMoshi Arusha hiyo
Tatizo ni lipi hapo
Duh kweli mahabusu si pazuri maana naona jamaa tangu aingie mahabusu hakuwahi kubadili nguo, ni hilo hilo gwanda la kidhaifu na kifisadi.
DOUGLAS SALLU acha kuropoka, chunga hiyo keyboard unayotumia kuandika huo uropokaji inakusikiaNa wewe toka juzi hujabadili gagulo nasikia harufu jukwaani.
tukuyu hii
Una uhakika salimu mwalimu anakula mzigo???
DOUGLAS SALLU acha kuropoka, chunga hiyo keyboard unayotumia kuandika huo uropokaji inakusikia
Wapi hiyo mkuu?
Karne ya 21 member wa jf bado anaamini kufunga mkanda ni kwa kuwaogopa polisi!!!!Naona Kafunga Na Mkanda Wa Gari,polisi Noma Aitheee
hahahahah, unachekesha kweli wewe kiumbe. Hivi bei ya chandomo sasa ni shs ngapi?Wewe tu ndiyo una haki kutoa shombo zako hapa kwa sababu tu ni mtetezi wa chama chakavu? Lugha uliyotumia kuhusu Mwalimu ni sahihi? jifunze kuheshimu watu wengine nawe utaheshimiwa, wewe ndiyo moja ya watu wanaofanya JF ionekane jukwaa la kihuni, hebu pitia post zako zoooote na ujitafakari.
Mzigo uko Lumumba. Wanapanga mikakati ya kuushushaUna uhakika salimu mwalimu anakula mzigo???
hahahahah, unachekesha kweli wewe kiumbe. Hivi bei ya chandomo sasa ni shs ngapi?
Dada tengua kauli....Hilo ni vazi la Kikamanda tafadhaliDuh kweli mahabusu si pazuri maana naona jamaa tangu aingie mahabusu hakuwahi kubadili nguo, ni hilo hilo gwanda la kidhaifu na kifisadi.
Dah mkuu unapenda ubuyu....bahati mbaya JF Photo wana kuwepo ME zaidi...jaribu kule chit-chart.Huyo Esther ndoa yake ilishavunjika ?