Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

We mkabila Wakurya wametokea wapi humu?

We huwajui Wakurya, utasikia sometimes wanasema, "Mimi sibikirii mwenyewe, mi nawabikiria wanangu" hapa ana maana yeye hajifikirii mwenyewe ila anawafikiria wanae, au "We mama Boke, huu uchi wako wa moto" akiwa na maana, we mama Boke, huu uji wako wa moto, so mi siwezi kumshanga huyu dada Esther Bulaya, by the way, ni kazuri hako kabinti!?
 
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;


Nawasilisha

hii sasa ishakuwa issue naanza kuamini kuna lililojificha nyuma ya pazia sisi hatulijui
 
kwani hajaolewa huyu?

Tokea lini alieolewa akawa shost wa asieolewa? Wote wawili Mdee na Bulaya ni singles, tuliwahi kusikia kwa kampeni za Nassari kuwa akipata ubunge atavuta Mdee sasa sijui imeishia wapi hii... ila mkulu kama kuna kati yao aliekuvutia tia timu tu.
 
Katika ukurasa wake wa Facebook Mheshimiwa Ester Bulaya anasema hivi:

"Nasikitika sana kuambiwa kuwa nimempigia debe urais Mh Zitto Kabwe. huu ni uwongo wa kutubwa tulienda kigoma kuwaunga mkono wasanii wa kigoma walioamuwa kwenda kUchangisha fedha za ujenzi wa kituo cha vijana. nilienda kama mbunge wa vijana kwa ajili ya kuunga mkono vijana wenzangu. huu ni uzushi mkubwa. natambua kila chama kinautaratibu wa kupata mgombea urahisi".
 
Ukisoma ''utetezi'' wake bwana Zitto kwenye thread yake aliyoianzisha jana unaweza kugundua kitu cha ajabu sana. Ni kama vile anawashutumu wabunge wale kwa kukana kitu walichokisema. Yaani anaamini yaliyoandikwa na Mwananchi ndio maneno sahihi. Kwa kifupi, ni kama vile anafurahia walichoandika.
 
ebu tuambieni basi ni nini mlichosema nyinyi maana kila mtu anakanusha lkn amuweki conclusion sema wewe ulitamka maneno gani?
 
Mkuu Yericko!

Wanasiasa hawana kawaida ya kukumbuka wanachosema mbele ya hadhara, iwe ahadi hadi lafudhi wanayotamkia maneno. HataHawa wanaomkana Zitto kwa sasa, siwaamini:spy:
 
Wakuu, kama alivyosema Zitto lengo la lile tamasha lilikuwa si kutangaza malengo ya Zitto kisiasa, sasa inakuwaje huyu jamaa ashabikie sana hili suala la hawa wabungeumpigia debe, hata kama ni kweli walisema hivyo
 
Man, the boy Zitto is accelerate rapidly into a big-time Charlie. Individualism is the drive motive; nothing less nothing more.
 
Wakuu, kama alivyosema Zitto lengo la lile tamasha lilikuwa si kutangaza malengo ya Zitto kisiasa, sasa inakuwaje huyu jamaa ashabikie sana hili suala la hawa wabungeumpigia debe, hata kama ni kweli walisema hivyo

Zitto hashabikii hawa wabunge kumpigia debe bali anakereka na unafiki wa kukana walichokisema.

Alisema pale mtu hakupangiwa cha kusema na hawakupewa muda wa kuhutubia bali kusalimu.

Sasa kama walitaka wapigiwe makofi na vigelegele kwa kumpamba Zitto, its non of Zitto's bussiness.

Walishangiliwa sana hadi wakajisahau kwamba mtu toka kanda nyingine haruhusiwi hata kutabiriwa nafasi hiyo?.

Binafsi sipendi limtu linafiki linalokana maneno yake kama utadhani ni yule mbunge wa Mtera.
 
Ivi huyu mama ana umri gn? kila kitu kwake ni kijana?ameolewa?
 
Mwacheni Ester Bulaya wetu anasubiri tu kujiunga na WAPAMBANAJI 2015, kama Wassira atang'ang'ania jimbo la Bunda. Halima Mdee anafanya kazi nzuri. Ila hilo gazeti la mwananchi kuwawekea maneno midomoni mwa wabunge inabidi walitake liwaombe radhi, vinginevyo walipeleke mahakamani liwalipe fidia.

Kutoka na ka-utafiti kangu kadogo nilikokafanya humu JF.
Pro-CDM wanataka Dr. Slaa agombee Urais 2015.
Pro-CCM wanataka Zitto Kabwe agombee urais 2015.

Je kwanini haya makundi mawili yana mitazamo tofauti? Be the jurror yourself.
 
Anatafuta mchumba
Good news..

Tokea lini alieolewa akawa shost wa asieolewa? Wote wawili Mdee na Bulaya ni singles, tuliwahi kusikia kwa kampeni za Nassari kuwa akipata ubunge atavuta Mdee sasa sijui imeishia wapi hii... ila mkulu kama kuna kati yao aliekuvutia tia timu tu.
Kaka ntaanzia wapi, mie mtu mdogo sana ktk jamii hii, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyao..! kutamani nisivoviweza ni kujitia jakamoyo..
 
Ndio tatizo la Tanzanian politicians, like to use media for ditty politics. wakulaumiwa ni Zitto na waandishi wake wa habari aliowaseti ili wakiandike kile alichokuwa anakitaka yeye. hii inatokea sana na kwa bahati mbaya kwa gazeti kama la mwananchi I'm dissappointed
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;


Nawasilisha
 
Back
Top Bottom