Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
14705769_1450510268300208_4495792275616853426_n.jpg

Habari iliyoifikia meza ya Mwanahabari Huru kutokea Bunda inasema Mbunge wa zamani Steven Wassira ameshindwa tena kwenye Rufaa yake na Ester Bulaya Mbunge wa Bunda.

========

Taarifa kutokea Bunda: Mbunge wa jimbo la Bunda-mjini, Esther Amos Bulaya, ameshinda kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili, iliyofunguliwa na wanachama 4 wa CCM na aliyekuwa mgombea ubunge wa chama hicho, Steven Wassira.., kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, lakini ilikuwa inasikilizwa mjini Musoma, Mara.
15027927_336171523418266_1015708833855467096_n.jpg
15056342_336171580084927_8459674159852629848_n.jpg
IMG-20161118-WA0031.jpg
 
Habari Iliyoifikia Meza ya Mwanahabari Huru Kutokea Bunda Inasema Mbunge wa Zamani Stivin Wasira Ameshindwa Tena kwenye Rufaa yake na Estar Bulaya Mbunge wa Bunda..

Tutawaletea habari kamili Stay Tune
Hakuna kitu kama hiki.
Labda sema ni unabii au umeota
 
Back
Top Bottom