endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,663
- 2,668
Nawe Mama mumeo yuko wapi?Mimi simo.
Msalimie Halima
Anafanya kazi gani?
Watoto Je??
Najaribu kufikiri tu mana mwanamama mwenye vyote hapo juu ni ngumu kushinda hadi usiku wa manane kubishana kwenye mitandao