Estar Bulaya aachiwa huru

kiongozi yeyote anayependa haki na kuheshimu haki za binadamu atasita kupeleka mswada bungeni wakulifumua jeshi la polis na kulisuka upya ili liendane na mfumo wa sasa wa kisiasa nchini. mbunge ni mwakilishi wa watu lazima aheshimiwe....
 
Mh Estar bulaya mbunge wa bunda akiwa kwenye office ndogo za bunge jiji daresalam baada yakuachiwa huru na mda huu anaelekea airport kwa ajiri ya safari yakwenda mwanza kwenye kikao cha kamati kuu..
Y alikamatwa?nani aliagizwa akamatwe?this is serious
 
kiongozi yeyote anayependa haki na kuheshimu haki za binadamu atasita kupeleka mswada bungeni wakulifumua jeshi la polis na kulisuka upya ili liendane na mfumo wa sasa wa kisiasa nchini. mbunge ni mwakilishi wa watu lazima aheshimiwe....
Kabisa umenena
 
kwa hali hii kweli tunabana matumizi ya fedha za serikali kweli?
 
Bila ya MaCCM yenyewe kujua, hii issue imemuimarisha zaidi Bulaya na kujitambua kama sasa amejivua kabisa uccm.
Kwa kuanzia ukamatwaji wake hadi kufikishwa Dar na baadaye kupata dhamana, ameshakuwa kamanda kamili.
Tegemeeni kumuona Bulaya imara zaidi toka sasa, na wala siku sio nyingi atadhihirisha kuwa yeye ni sawa na Wabunge 200 wa CCM.

Ova
 
Ni matumizi mabovu ya rasilimali zetu hawa polisi sijui wakoje kwani wangemuita si angeenda hata jumatatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…