Estadio Mineirao ilivyogeuka Kilio baada ya 7-1

Estadio Mineirao ilivyogeuka Kilio baada ya 7-1

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
vilio.jpgvilio.jpgvilio.jpgvilio.jpgvilio.jpgvilio.jpgvilio.jpgvilio.jpgvv.jpgvv.jpgvv.jpgmapema.jpgmapema.jpgmapema.jpgmapema.jpgmapema.jpgmapema.jpgmapema.jpgvilio.jpgmapema.jpgmapema.jpgvilio.jpgmapema.jpgmapema.jpgmapema.jpg
 
mapema.jpgmapema.jpgHii ni Baada ya dakika ya 40 wengine waliona hizo 5 zinatosha wakaanza kujiondokea Taratibu.
 
Ha!ha!ha! pole sana hata chakula akipandi baada ya mechi ndo mchezo
mapema.jpg
 
Mji umepoa sana ila kutolewa kwa hawa kuna vitu tutavimisi sana aisee!!!!
 
mashabiki, wachezaji, makocha kila mmoja analia............
 
Inasikitisha sana, lakini ndio mchezo
 
Jana wajerumani walinifurahisha sana hadi nikalia kwa furaha....wabrazil wanabore sana wanadhani wenyewe ndio mpira
 
sasa hawa wanavolia maana yake nini yaani wanataka Germany wapunguze dozi au? hii timu ni legelege toka day one na ingechukua hili kombe ingekuwa mpira hauna maana kabisa...yaani leo kama Dante na Fred hawajafikishwa mbele ya hakimu mkazi basi tena
 
Bulldog kama umekapenda kape pole yake ya kupigwa 7 watu usingizi huku umekosa aiseee
 
Back
Top Bottom