Estadio Mineirao ilivyogeuka Kilio baada ya 7-1

Estadio Mineirao ilivyogeuka Kilio baada ya 7-1

wasubiri maandamano sasa. laaana ya wanyonge


Its all about football,it doesn't matter whether you at home or away German was the better side than Brazil and results are explaining!!!!!
 
Haya matokeo yamenipa wakati mgumu sana 🙁
 
haka nimekapenda

mapema.jpg
 
Wapo wengi wazuri lakini ndo hivyo wasiwasi nikwamba hawataendelea kuja Uwanjani masikini..
 
Haya matokeo yamenipa wakati mgumu sana 🙁

Mkuu prs,pole sana kwa zahma hiyo nzito kabisa.Ila kiukweli kabisa, kwa mtu yeyote anaejua na kufuatilia soccer atakubari kabisa kwamba kikosi cha Brazil katika world cup cha mwaka huu, kilikuwa kibovu kabisa.Nilikuwa nashangaa jinsi kilivyopenyeza hadi kufikia hapo kilipojikwaa. Lilikuwa ni suala la muda tu,kwamba wakikutana na timu bora ni lazima wangechapwa tu japo kichapo hicho cha "week" sikukitarajia.Nilikuwa nashangilia goli likiingia,lakini niliacha baada ya kufungwa goli la tatu,nilistushwa sana na interval ya magoli!Kwa umaarufu,uenyeji na ukubwa wa Brazil katika soccer, ilikuwa ni zaidi ya kufungwa.Hiyo ilikuwa ni kudhalilishwa! Itawatesa kwa muda mrefu sana hiyo.Pole sana.
 
  • Thanks
Reactions: prs
Hawa brazul wenyewe waliji underlate mapema..waliingia na tshirt na vilio kwa nwymer utasema neymer kafa au yuko m!hututi..hii sio fair kwa wachezaji wengine lazima ki saikolojia ingewasumbua.
 
mkuu NAPITA safari hii kuwa makini wakikuona unawafotoa wanaweza kukupopoa mawe,hasira zao hazizuiriki kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
mkuu NAPITA safari hii kuwa makini wakikuona unawafotoa wanaweza kukupopoa mawe,hasira zao hazizuiriki kwa sasa

Kumekucha huku mida hii kuna matukio yametokea ya vurugu mtaani ngoja tuyasake ili tuyatupie hapa hapa wakati tunasubil wakina Messi nao wachukue yakwao.
 
Back
Top Bottom