STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,410 Reaction score 6,998 Jul 16, 2026 #1 ESS haifunguki Leo kutwa nzima Kuna Shida gani..?
Kubwa la Maadui JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 7,990 Reaction score 15,810 Jul 16, 2026 #2 Walimu mnamatatzo sana, utakopa kesho
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,410 Reaction score 6,998 Jul 16, 2026 Thread starter #3 Kubwa la Maadui said: Walimu mnamatatzo sana, utakopa kesho Click to expand... Mkuu E-loan ndio haifunguki kabisa Hata E-Transfer nayo ni majanga
Kubwa la Maadui said: Walimu mnamatatzo sana, utakopa kesho Click to expand... Mkuu E-loan ndio haifunguki kabisa Hata E-Transfer nayo ni majanga
Kubwa la Maadui JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 7,990 Reaction score 15,810 Jul 16, 2026 #4 STUKA M1 said: Mkuu E-loan ndio haifunguki kabisa Hata E-Transfer nayo ni majanga Click to expand... Subir kesho, hili sio suala la kufungulia uzi
STUKA M1 said: Mkuu E-loan ndio haifunguki kabisa Hata E-Transfer nayo ni majanga Click to expand... Subir kesho, hili sio suala la kufungulia uzi
Heavy Metal JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,153 Reaction score 2,874 Jul 16, 2026 #5 STUKA M1 said: ESS haifunguki Leo kutwa nzima Kuna Shida gani..? Click to expand... Unataka kufanya nini Mkuu? Mwisho wa mwezi mbona bado sana 🤔
STUKA M1 said: ESS haifunguki Leo kutwa nzima Kuna Shida gani..? Click to expand... Unataka kufanya nini Mkuu? Mwisho wa mwezi mbona bado sana 🤔
Psalm 103 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2026 Posts 1,657 Reaction score 2,695 Jul 16, 2026 #6 Kubwa la Maadui said: Walimu mnamatatzo sana, utakopa kesho Click to expand... Inasikitisha sana!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,987 Reaction score 166,215 Jul 16, 2026 #7 Kubwa la Maadui said: Subir kesho, hili sio suala la kufungulia uzi Click to expand... Anataka kula bia wewe una mwambia atakopa kesho 🤣🤣
Kubwa la Maadui said: Subir kesho, hili sio suala la kufungulia uzi Click to expand... Anataka kula bia wewe una mwambia atakopa kesho 🤣🤣
Kubwa la Maadui JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 7,990 Reaction score 15,810 Jul 16, 2026 #8 min -me said: Anataka kula bia wewe una mwambia atakopa kesho 🤣🤣 Click to expand... Walimu ni wapuuz wa mwisho kama unakua na acess ya Bank yake na namba ya simu unaweza kopa hata milioni 30 kwenye ess za wapumbavu, washukuru tu kua Kuna hatua nyingi
min -me said: Anataka kula bia wewe una mwambia atakopa kesho 🤣🤣 Click to expand... Walimu ni wapuuz wa mwisho kama unakua na acess ya Bank yake na namba ya simu unaweza kopa hata milioni 30 kwenye ess za wapumbavu, washukuru tu kua Kuna hatua nyingi