kwa wotee nazani pana shid kidogo maybe itatatuliwa soonNikiapply loan verification code sipati akati number ya simu ni sahihi na iliyopo kwenye profile tatizo ni mtandao au ni nini!?
Hii NAMI nimekumbana nayo tangu juzi code hazitumwi.Nikiapply loan verification code sipati akati number ya simu ni sahihi na iliyopo kwenye profile tatizo ni mtandao au ni nini!?