Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
Yanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana.
Sielewi tatizo ni nini ndugu zanguni wana Jangwani. Kuna nini hakipo sawa? Hebu tufurahieni tuwaoneshe hawa Mikia kuwa kombe tunalo na tunatamba nalo. Tuacheni unyonge.
Ni kama...
Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??.
Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,
Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
Wazee sujuwi ni mimi tu au pia kuna wengine wanaweza kuona hili binafsi nimemsikiliza huyu jamaa nimeona ana kitu na cha tofauti na hawa wasanii wengine tuliowazoea na uimbaji wao.
Hebu jaribu kusikiliza alafu utoe maoni yako poleni kwa kuwachosha na hizo mb
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.