Espionage Specialists: Majasusi wanagunduliwa na kukamatwa kwa namna na njia gani?

Mkuu, toa story kamili. Ilikuwaje na Arusha sehemu gani...na kama ulisikia sikia viashiria vilivyosababisha kukamatwa kwao hadi kujulikana ni CIA..

Sent from my Device.
Ni kweli, wale Spies kutoka Ulaya huko Arusha, waligunduliwa (Walishitukiwa) na DAB...!!

Ila walionewa huruma, na kurudishwa kwao (japo walinyang'anywa Miwani yao ikachomwa moto)...
 
Umeniacha Sanawari kwenye mataa..

Weka maelezo ya kutosha ku-collaborate uhalisia wa tukio lenyewe! Kama lilikuwepo.
Tukio la kuingiliwa na Spies toka Ng'ambo, habari hii haikukufikia..!

Na kama ilikufikia, unajua ilikwisha vipi..!?

Ilivyo malizwa, ndili jibu nililo toa hapo..!
 
Girl next level mbona TZ kuna jasusi alikamatwa na kufungwa Juma Thomas Zangira au wewe ni wa juzi tu
 
Huku inakua ngumu sana Cause spy wengi wa nchi mbali mbali wanakuja nchi za Africa kwa njia mbali mbali,Mifano ma-volunteer wa Peacecorps,JICA,KOICA(baadhi ni spy), wengine wapo vyuoni kama exchange students,Wengine vyuoni kama invited/guest professors (kwenye hili rejea kitabu cha cheche).


Kwa mazingira hayo huku inakua ngumu kuwadaka na pili hata wakidakwa haitangazwi.
Ukweli asilimia nyingi
 
View attachment 557753

CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani.

Mimi dada yenu na urembo na umri wangu huu sijawahi kusikia katika vyombo vya habari eti kuna mtu hapa Africa amekamatwa na kushatakiwa eti kwa kufanya kosa la kufanya ujasusi (espionage)

Hawa spies ina maana hawakamatwi ama wakimatwa wanarudishwa nchini mwao?

Yours faithfully,

Girl Next-door,

Nawasilisha.
mpaka hapo ushadanganywa na ujasusi,umeshindwa na haujui.
 
Kuna Wakenya sita wamekamatwa... Walikua wanamfuatilia Raila... Is it not fake news.
 
Back
Top Bottom