Askar wetu hawawez kuwa bright kwa7bu wanadili na wapinzan ambao hawana hata caterpult (manati), fikiria usalama aliesota darasan anapanga mission ya kumteka diwan wa cdm anaekaa kwenye nyumba yake isiyo na ulinzi hata wa mbwa au kupanga kumteka mfuasi wa cdm anaekaa kwa bibi yake hana hata chembe moja ya intelligence sasa unategemea huyo kachero atakuwa na maarifa? Unamvamia bashe na musukuma unawatia ndani ki-intelligencia sasa unategemea nini? Ndo maan tunasikia kwamba tunafanyiwa espionage na warembo wa Rwanda watu wamebung'aa kazi kusikia mara SAA tisa kapotea cjui miili unaokotwa mto ruvu mara mingine imeokotwa ufukweni hatujakaa vizur tunaambiwa lissu kapigwa risasi, kamera za cctv zimeng'olewa yaan alieziweka kaenda kuzichukua jamani wenzetu fanyeni uchunguz wanasema tunamtaka dereva! Sasa inamaana huyo dreva angekufa na lissu wake tungeishia mazishi tu?