Tetesi: Espérance de Tunis kutoa 2.4 billion Kwa mzize

Kuna mmoja hapo mkono hauonekani sijui umeshika wapi
ANYWAY, NASIKIA KUNA MTU KALA NGUMI HUKO
Screenshot_20250810-161423.jpg

Mkono Tunao,,,Jamaa Nafikiri Alimgusisha Chuma,,Dogo Akalegea Kibwegebwege Tu....
 
BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.

De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.

Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.

Follow @usajili_na_hansrafael14View attachment 3437585

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Acha komedi wewe, Mukwala??
Au umeamua kutuchekesha tu.
 
BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.

De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.

Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.

Follow @usajili_na_hansrafael14View attachment 3437585

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mh! Mwaka huu hadi Real Madrid watakuja Maana siyo kwa matangazo haya
 
Back
Top Bottom